Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #21
huenda wako vizuri ki teknolojia, si una jua usiri nao!Bado najiuliza Hy cloning Ina take muda gani mbn imekua fasta sana?
huenda wako vizuri ki teknolojia, si una jua usiri nao!Bado najiuliza Hy cloning Ina take muda gani mbn imekua fasta sana?
hatari sana!Vatcan hawashindwi kitu hao.
naam uhai muhimu.Binafsi nitaishi mda mrefu hilo najua kwa hakika ila lazima nitakufa tu ,na ninapenda hilo ili kusadia wengine waishi vizuri
Kusahau maneno yawezekana labda ni sababu ya uzee au side effects ya dawa za usingizi walizokuwa wanampa wakati wa kufanya operation.haya why asahau maneno?, si hata professor jay ali umwa vipi ali sahau ehh?
Sidhanihuenda wako vizuri ki teknolojia, si una jua usiri nao!
Vipi professor jay naye si ali umwa hapa kwetu, vipi nae ali Sahau hadi afundishwe kuongea?Kusahau maneno yawezekana labda ni sababu ya uzee au side effects ya dawa za usingizi walizokuwa wanampa wakati wa kufanya operation.
hahahaSishangai Papa kapata umbo la papa halisi wa majini Papa chibonge!
Umri pia unachangiaVipi professor jay naye si ali umwa hapa kwetu, vipi nae ali Sahau hadi afundishwe kuongea?
Kwahiyo hadi kanuni ya imani amesahau kabisawana sema ame sahau baadhi ya Maneno hivyo ana fundishwa Tena, ila aisee mi naona tofauti.
View attachment 3281639
Hahaha wame sema wata mfundisha 😆Kwahiyo hadi kanuni ya imani amesahau kabisa
labdaUmri pia unachangia
Wateue mwingineHahaha wame sema wata mfundisha 😆
Mimi Sasa?, ndio issue trending kwa sasa maana changes zime shangaza watu wengi.
haya why asahau maneno?, si hata professor jay ali umwa vipi ali sahau ehh?
Umri wa papa na professor havifananiVipi professor jay naye si ali umwa hapa kwetu, vipi nae ali Sahau hadi afundishwe kuongea?
Hawa watu wanaishi sana .wana sema ame sahau baadhi ya Maneno hivyo ana fundishwa Tena, ila aisee mi naona tofauti.
View attachment 3281639
Professor Jay ni kijana kulinganisha na Papa Francis.Vipi professor jay naye si ali umwa hapa kwetu, vipi nae ali Sahau hadi afundishwe kuongea?