Mabadiliko ya Papa yashtua na kuzua gumzo kubwa

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
46,398
Reaction score
102,530
Hii imekuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo.

Ambapo baada ya kutoka hospitali ameonekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema alizungumza na watu zaidi ya 1,000 baada ya kupona, ila hapa wanasema wanamfundisha baadhi ya maneno!.

Inasemekana ni cloning au ni double wake!
 
Katika Bold hapo ,kwann wafanye hivyoo?

Cloning inatumia muda gani mpk kukamilika?
 
Wazee wa conspiracy theories kwenye ubora wao. Yaani wamfanyie cloning mtu ambae nafasi yake inaweza chukuliwa muda wowote kwa uchaguzi?? Hii kali.
Mimi Sasa?, ndio issue trending kwa sasa maana changes zime shangaza watu wengi.

haya why asahau maneno?, si hata professor jay ali umwa vipi ali sahau ehh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…