The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Hata kwa wanyama hakuna clonning ya miezi 2 ikuletee mzee hivo.Professor Jay ni kijana kulinganisha na Papa Francis.
Hakuna sababu ya msingi ya kufanya human cloning halafu pia hakuna human cloning iliyowahi kufanyika kwa mafanikio.Cloning zilizofanikiwa ni zile za wanyama sio za binadamu.
Kama Papa akiona ana changamoto za kiafya au ameanza kupoteza kumbukumbu huwa anajiuzuru ili aje Papa mwingine,ni kama Papa Benedict wa 16 alivyojiuzuru ndipo akaja Papa Francis.
Si Kweli alikua hivyo mda tu, wanachofanya watu wanachukua picha za zamanii wanafanya Nisha na sasa, ila ukifananisha picha ya mwaka jana na mwaka huu utaona utofauti mdogoHii ime kuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo.
ambapo baada ya kutoka hospital ame onekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema ali zungumza na watu zaidi ya 1000 baada ya kupona, ila hapa wana sema wana mfundisha baadhi ya maneno!.
ina semekana ni cloning au ni double wake!
View attachment 3281638
Sielewi kwa nini hachukui uamuzi wa busara akajiuzuluHii ime kuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo.
Ambapo baada ya kutoka hospital ame onekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema ali zungumza na watu zaidi ya 1000 baada ya kupona, ila hapa wana sema wana mfundisha baadhi ya maneno!.
Ina semekana ni cloning au ni double wake!
View attachment 3281638
Ana miaka mingapi? Kuna chuma kina 80 plus, kilizima kushtuka kinagonga kisukuma kama kawaida. Kikawa kinaulizia ng'ombe zake. Hawa weupe miyeyusho sana. Au alipigwa na stroke pia?Hakuna sababu ya msingi kumfanyia cloning papaa.
lkn pia kaumwa sana, kusahau kutokana na ugonjwa + umri ni kawaida.
Alafu Pia Magonjwa Ni Tofauti Si Kila Ugonjwa Utamfanya Mtu Akili Itetereke Na Pia Si Kila Mtetereko Wa Akili Husababishwa Na Ugonjwa Wa Aina Fulani,Kwa Kuwa Mtetereko Wa Akili Nao Pia Ni Aina Ya Ugonjwa.Umri pia unachangia
Ukiwa hujawahi kuuguza mgonjwa wa non communicable diseases utaongea utopolo huuHii ime kuja baada ya papa kiongozi huyo wa dini kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo.
Ambapo baada ya kutoka hospital ame onekana kuwa tofauti kabisa na awali, licha ya kusema ali zungumza na watu zaidi ya 1000 baada ya kupona, ila hapa wana sema wana mfundisha baadhi ya maneno!.
Ina semekana ni cloning au ni double wake!
View attachment 3281638
aji uzulu kwanini mkuu?Sielewi kwa nini hachukui uamuzi wa busara akajiuzulu
Google ujue vizuriCloning maana yake nini?
uki ingiza hiyo hoja pale Vatican, uta sababisha virungu vitembee baina ya wauminiWampime DNA na kulinganisha na ndugu zake.
Ujinga ni kukomalia Papa kawekwa double wakati Mungu hata humuoni na wala hathibitishiki kuwapo.uki ingiza hiyo hoja pale Vatican, uta sababisha virungu vitembee baina ya waumini
Mkuu kila niki muangalia nacheka sanaaiseeh!!👿 cloning is real!