Mabadiliko ya Papa yashtua na kuzua gumzo kubwa

Basi ata kuwa double wake, ko papa ana sahau hadi maneno eti wamfundishe kuongea.
 
Mmojawapo ni mtoa mada, kimemuuma sana, anahangaika kuanzia Facebook
 
Kikubwa tujiulize swali la msingi na
Mleta mada, ingefaa utuletee habari iliyokamilika, utupe kile unachofikiria kinawafanya waudanganye ulimwengu.
Kuna sababu gani ya msingi ya kudanganya?
Chuki tu za kidini zimemjaa
 
Sina uhakika km hili jambo lipo ila km lipo mjomba hawa jamaa hawafikirii km tunavyofikiria sisi hta huo ugonjwa aliougua inawezekana wao ndio sababu baada ya kuona wakati wa kumfanyia mabdiliko umefika
Ana kipi special kabakisha kwamba lzm akifanye mpk walazimishe hili ? Kwann sio Papa wengine mpk awe huyu?
 
Wazee wa conspiracy theories kwenye ubora wao. Yaani wamfanyie cloning mtu ambae nafasi yake inaweza chukuliwa muda wowote kwa uchaguzi?? Hii kali.
Allloooo bora umekuja ndugu yangu bhana tunaomba madini

Uko vizuri sana kichwani siyo kama hawa akina mgerasi na popoma min -me
 
Sawa boss
Sema BABA YETU ULIYE MBINGUN JINA LAKO LITUKUZWE UFALME WAKO UFIKE UTAKALO LIFANYIKE DUNIAN KAMA MBINGU UTUPE LEO MKATE WETU WA KILA SIKU UTASAMEHE DENI ZETU KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WALIO TUKOSEA USITUTIE KATIKA VISHAWISHI LAKINI UTUOPOE MAOVUNI

AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…