Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
mkuu yani bongo nyoso nilikua mteja wakufa mtu Sasa leo ili nibidi niikumbuke voda na kuanza kutafutiza yata kwenye ya kwangu tu.Halotel akusomeki uko yani ni kilio tuuu sasa sijui niludi Vodacom [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]
Mimi huwa naamini CCM Hakuna mtu mwenye akili timamu kichwani wote ni Mazezeta tu......Viongozi wote wa CCM Thinking capacity yao ni ndogo mno hawana uwezo wa kufanya Negotiations kwa mambo kama haya.Haya sasa yule waziri Ndungulile aliyekuwa anawajaza uongo yuko wapi ???
#RudiNyumbaniKumenogaPambaf kabisa simu itageuka calculator zama hizi, tutajifunza kusoma vitabu[emoji23]
#homenitakuja
#kwakunyata
Voda nilihamia baada ya utopolo wa tigo[emoji3064][emoji3064]
Voda nilihamia baada ya utopolo wa tigo[emoji3064][emoji3064]
Pole mpendwa!!
Mimi baada ya Tigo kuzingua nimechutama Ttcl
Mama hahusiki kabisa, hil zoezi limeanza toka Magu akiwa Rais ni Zoezi la FebrMm huwa mtumiaji wa halotel kwa wiki ni GB 3 na dk 30 Leo naangali ni GB 1 na mb 30 kifupi wakuu mother anakotupeleka siko kabisa
🤣🤣🤣Vifurushi vya wanyonge
Ndugu mteja,hadi Tarehe 02/04/2021 tunaendelea kufanya mabadiliko ya vifurushi vya Dakika,Data na SMS.Endelea kufurahia huduma zetu.Leo nimeweka voucher ya jero kama kawaida yangu kifurushi cha jero ni mb 500 nifungue Sasa Menu nijiunge nakuta mambo kama ifuatavyo .....
Sasa hii ni kukomoanaView attachment 1740253