Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Leo ni siku ya wajinga kwahiyo Vodacom watuache kwanza
 
Kila nikiandika nachokusudia kuandika najikuta nasikia sauti ikiniambia ''KOMA NA MDOMO WAKO, BORA UKAE KIMYA''
Nami nanyamaza tu, niwe mtazamaji.
 
Kila nikiandika nachokusudia kuandika najikuta nasikia sauti ikiniambia ''KOMA NA MDOMO WAKO, BORA UKAE KIMYA''
Nami nanyamaza tu, niwe mtazamaji.
Kaa kimya tu mkuu.
Au weka hata kiemoji
 
Bila kupiga kelele ndio imeisha hiyo ...
 
Hivyo virushi viwili cha 1000 kwa wiki na cha usiku ndio vilifanya niwe natumia halotel,sasa hivi sioni sababu ya kuendelea kutumia halotel.
 
Hii yote ni hawa TCRA (if it ain't broken why try to Fix it) ?

Bei elekezi bei elekezi...., wanashindwa nini kutengeneza kampuni yao (TTCL) na kushusha bundles tuone kama wengine hawatashusha..., kazi yao kuelekeza tu na sio kujaribu kufanya...

Tunajifanya soko huria wakati hawa jamaa ndio sometimes wanafanya bei ziende juu sababu ya makato yao..., Bure Kabisa hawa jamaa inabidi kila mwaka tuwe tunawachunguza wameleta tija gani kwa taifa kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…