Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Hata vijana watakuwa wanamshangaa mgonjwa pale kitandani🤣🤣
Kuna mzee mmoja juzi kanichekesha na kunihuzunisha pia, hatembei na na 20+, yeye ni 18-20 tu na yupo 69yrs. Anadai ana watoto 18 kila mmojaana mama yake, hajawahi kuoa wala kuishi na mwanamke. Akapiga simu kuongea na babe wake(19yrs) ametoka kujifungua mwezi jana, yaani juzi niliipata definition ya "mzee wa hovyo" live🤣🤣
 
Babu umeongea point sana.
 
Tubu umrudie Mungu.
Pia kumbuka uzuri bila akili ni mateso kwa sehemu za siri.
 
🙆🙆🙆Daaah Kuna watu Wana lifestyles za kipekee!au ndio Ile Raha ya kuitwa Dady ulivyosema juzi😁?
 
Brother lea watoto sasa sio kufurahia tu mambo kama hayo, walee katika maadili mazuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…