Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

Samahani mkuu? Wewe ndio upo mioyoni mwa watanzania wote zaidi 60+ achana na nguvu ya umma. Kama kwa zambia imewezekana na imani kubwa ipo siku hata Tanzania itawezekana kuiangusha CCM.
Tzn hakuna wapinzani bali mpo wasaka fursa,mjinga ndio atawachagua afu baadae mnahamia tena ccm mkiwa na njaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hakika, hakuna mwema hapa Tz utadhani sisi wenyewe ni watimilifu. Labda tusubiri raisi wa kutoka mbinguni.
Yaani mkuu mpaka mda mwingine naona siasa ni kupotezeana mda tu magufuli alipigwa vita mpaka mungu akamuita akaja mama samia watu wakafurahia sasa hvi wameanza tena lawama.
 
Kwa mwendo huu tutegemee mengi mno ya kutengwa. Yaani tozo zitaongezwa mpaka guest kwa kila mteja anayeingia. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Denmark ilikuwa ni mdau mkubwa mno nchi hii. Tutalia na kusaga Meno.
 
The have been taking for free from our continent for centuries and now they fear no more, they do it in open.

The agenda now is battery powered cars in their manufacturing industries as they are discarding the fuel powered ones.

African leaders can't stand firm anymore so, let's first get gripped with injections to get totally stiffen our thinking capacity to the lowest level.

We are f....... big time.
 
Tzn hakuna wapinzani bali mpo wasaka fursa,mjinga ndio atawachagua afu baadae mnahamia tena ccm mkiwa na njaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Endelea kuota kwa yanayo endelea na vile mnajitekenya wenyewe kwa kufuta legacy ya Hayati Magufuli, nakuambia 2025 mtaitambua nguvu ya wasukuma.
 
Kwa mwendo huu tutegemee mengi mno ya kutengwa. Yaani tozo zitaongezwa mpaka guest kwa kila mteja anayeingia. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Denmark ilikuwa ni mdau mkubwa mno nchi hii. Tutalia na kusaga Meno.
Wenye welevu tunafahamu tozo zimeongezwa na kuwa nyingi ili kuwaachia wafanyabiashara waendelee kutolipa kodi na kurudisha fedha zao.

Miaka minne yatosha.

Watanzania ni wajinga sana,
 
Eh baba si uandike kwa kiswahili tu tupate kuelewa na akina sisi tulioogopa umande?
 
Hiki kinaitwa kingereza cha Ugoko๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Halafu hao kina mama wanao garagara nje ya mahakama kweli hiyo sio vurugu?
je inaruhusiwa kufanya vitendo vya kugaragara na kupiga mayoe mahakamani?
Polisi lindeni hadhi na usalama wa mahakama usichezewe na hao wahuni.

Hukwenda kujitolea upolisi Zanzibar waita valentia
 
Hahaha ukabila imeshakuwa hoja?
Mshaurini vyema Mh. Raisi asimamie misingi bora ya uongozi, kile kiti alichokalia ni kikubwa asikubali kuyumbushwa na washauri wake ili agombane na vyama vya upinzani. Hata nchi zilizo endelea zina vyama vya upinzani na maendeleo yapo kama kawaida hivyo kwanini isiwezekane kwa Tanzania.
 
Hawa Lumumba sijui kama wataelewa Mkuu
 
Hii serikali ya kina Mwigulu iko kujisikilixia halafu kujishauri yaani kale kaneno "themselves"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ