Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Waulize jiwe, mpara magamba, Kachero Mbobezi na manguli wenzao wakwambie kama huyo alikuwa mke anasindikizwa?

Wenzio hata kula chakula hakipiti kufika tumboni. Maumivu mwili mzima.

Atafanyiza tokea Ulaya. Kina sisi tutabanana nao hapa hapa.

Chini nchale na juu nako nchale!

Kitaeleweka tu.

Hiiii bagosha!
Toka 2016 mnaandika humu mara marekani wametoa tamko mara Amnesty international, mara WHO, mara WB, NA Jumuia za ulaya mara sijui nini,
Lakini magufuri kawafungia vioo ana chapa kazi, bado hamjastuka tu?
Bakini mkitafuta vi taarifa walivyo andika mabeberu mjifariji.
Waulize jiwe, mpara magamba, Kachero Mbobezi na manguli wenzao wakwambie kama huyo alikuwa mke anasindikizwa?

Wenzio hata kula chakula hakipiti kufika tumboni. Maumivu mwili mzima.

Atafanyiza tokea Ulaya. Kina sisi tutabanana nao hapa hapa.

Chini nchale na juu nako nchale!

Kitaeleweka tu.

Hiiii bagosha!
 
Unateseka sana. Na bado....kaka Mbowe naye lazima akimbie kutawaliwa na akili kizibo
Ninamtakia kila la heri huko atakapoenda. Lakini mjue, mnawaangusha sana. Kura hamuwapigii halafu mnawadanganya wameibiwa. Wakisema kama kweli mmewapigia kura basi muingie barabarani kudai kura zenu, mnaingia mitini. Lakini, wakati huo huo mnajazana JF na maneno kibaooooo!!! Ahahahahahah!
 
Mkuu, niliegemea wewe kama mhusika mkuu wa hiyo kambi ungetambua kuwa ni ujumbe gani mabalozi wa hizo nchi wameutuma kwetu sisi watanzania.
 
Ninamtakia kila la heri huko atakapoenda. Lakini mjue, mnawaangusha sana. Kura hamuwapigii halafu mnawadanganya wameibiwa. Wakisema kama kweli mmewapigia kura basi muingie barabarani kudai kura zenu, mnaingia mitini. Lakini, wakati huo huo mnajazana JF na maneno kibaooooo!!! Ahahahahahah!
Mbona unateseka sana na chadema? Chadema imekufa...hauwezi kuongelea CUF?
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Kwanini Tundu Lissu ameondoka salama? Kwanini iwe be salama? Ina maana kulikuwa na shari nyuma yake. Je Ni Nani kalitengeneza hilo shari kwa Tundu Lissu?
 
Nani kasema hawakutaarifiwa? Walitaarifiwa na nasikia diktekta uchwara alionywa ole wako ulete fyoko! Ikabidi awe mpole.
Kuna hatari ya watu kutumbuliwa juu ya swala hili.

Wewe endelea kutega sikio.

Alipo dikteta nadhani hapatoshi kwa kufura kwake. Kuondoka kwa Lissu kunamwonyesha mbele za watu anaowatisha sana kwamba yeye pia ana wababe zake kama anavyowababesha wapinzani hapa nchini kwa kutumia vyombo vyote vya ukandamizaji anavyoviamrisha kufanya uharifu huo..

Hapendi kamwe aonekane yeye ni dhaifu.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Ubolozi ni Nchi ndani ya Nchi.so amesindikizwa na serikali za nchi tatu kwenda Airport. I think atakuwa ni mtu mhimu sii kwa tuu kwa Tz but globally.Inawezekana tutakuja kuelewa vizuri zaidi baadaye kidogo
 
Back
Top Bottom