Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Mbona unateseka sana na chadema? Chadema imekufa...hauwezi kuongelea CUF?
Very soon habari kuhusu Chadema na viongozi wake zitaisha humu kama kauli ya "Chama Kikubwa cha Upinzani" ilivyokwisha baada ya uchaguzi! Ahahahahahaha!
 
V
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Vp Mambosasa hakumuona wakati anaondoka na huo msafara wake , akafanya yake .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huo ulikuwa mkuki au?
Nilisogea karibu kabisa nikitaka kujua hicho ni kitu gani, nikagundua ni panga
PicsArt_11-10-08.38.27.jpeg
 
Ninamtakia kila la heri huko atakapoenda. Lakini mjue, mnawaangusha sana. Kura hamuwapigii halafu mnawadanganya wameibiwa. Wakisema kama kweli mmewapigia kura basi muingie barabarani kudai kura zenu, mnaingia mitini. Lakini, wakati huo huo mnajazana JF na maneno kibaooooo!!! Ahahahahahah!

Kutoingia barabarani ndio kuridhika, mbona waalimu wanalalamika kila mwaka lakini hawaandamani. Watu tulikuwa tayari kuandamana kwa amani, lakini sio kila mtu anataka kupigwa risasi na majeshi katili. Dictator angeaacha watu waandamane kwa amani kisha apime na hizo kura zake za wizi. Kama watanzania wangekuwa wanaridhika na utawala huu, 2/3 wasingepuuza hilo box la kura.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hujaacha ujinga mkuu?
kasindikizwa na maafisa wa hizo balozi sio mabalozi...
Hivi nani kawaroga kwa levo hii ya ujinga?
 
Kutoingia barabarani ndio kuridhika, mbona waalimu wanalalamika kila mwaka lakini hawaandamani. Watu tulikuwa tayari kuandamana kwa amani, lakini sio kila mtu anataka kupigwa risasi na majeshi katili. Dictator angeaacha watu waandamane kwa amani kisha apime na hizo kura zake za wizi. Kama watanzania wangekuwa wanaridhika na utawala huu, 2/3 wasingepuuza hilo box la kura.
Ahahahahahahaj! Kwa kauli yako hii, Lissu ana haki ya kurudi Ubeleji. Ashaona hapa ana white elephant followers kama wewe! Ahahahahahahah! Eti mliogopa kuandamana mtapigwa risasi. Mlitaka mpewe chocolate? Ahahahahahahah!
 
Hao si wamesindikiza mke wao sasa shida iko wapi,
Ya Lisu muachie Lisu na ya serikari waiachie serikari,
Misheni yao imefeli hivyo tunawachora tu.
Serikari ina mambo mengi ya kufanya hivyo haina muda na mtu anyesindikizwa na watu wake.
Hao mabalozi itafika siku wataondoka wataiacha tanzania moja.
Serikari ndio nini na wewe? Ni Serikali.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Bado mna mawazo ya ,kuhusudu wazungu ,wakati Tanzania ni nchi huru.Trump mwenyewe bado hajaachia nchi.Kwa hiyo sisi ,tukae ,tunamfikiri Lissu ambae ajitambui
 
Ila unajipendekeza kwa Lissu. Haya, yeye huyoooo kwa mashoga zake Ubeleji. Wewe bado upo hapa hapa chini ya Serikali ya CCM! Ahahahahahaha!!

Namkubali Lissu vibaya sana, kwenda Ulaya huwa ninakwenda kwa taratibu zangu sio za kisiasa. Niko Hapa Tanzania maana ni haki yangu wala sio ombi, na hili ni bila kujali serikali iliyopo madarakani, hata ingekuwa ya kijeshi bado ningekuwepo. Uzuri ni kuwa serikali hii ya umwagaji damu haina kura yangu.
 
Very soon habari kuhusu Chadema na viongozi wake zitaisha humu kama kauli ya "Chama Kikubwa cha Upinzani" ilivyokwisha baada ya uchaguzi! Ahahahahahaha!
Hazitaisha kama utaendelea na obsession yako na cdm. Muda utaamua
 
Namkubali Lisu vibaya sana, kwenda Ulaya huwa ninakwenda kwa taratibu zangu sio za kisiasa. Niko Hapa Tanzania maana ni haki yangu wala sio ombi, na hili ni bila kujali serikali iliyopo madarakani, hata ingekuwa ya kijeshi bado ningekuwepo. Uzuri ni kuwa serikali hii ya umwagaji damu haina kura yangu.
Basi endelea kumkubalia mtandaoni na inakubalika. Lakini Watanzania hawapo tayari kuwaingiza Ikulu watu kama Lissu wasio na mwelekeo. Wewe ukiwa na shida ya Lissu kuwa Rais basi mshauri aanzishe LGBT club na awe rais! Ahahahahahahah!
 
Back
Top Bottom