Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Sii Jambo zuri Sana Ila pia Kwa wale wanajuwa mambo ya kiusalama nadhani wanajuwa hatari inanmkabili. End
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Walikuwa wanamsafirisha raia wao
 
Lisu ni debe tupu. Nafikiri sasa unajione udebe tupu wa Lisu

Hayo ndio matamanio yako. Namkubali sana huyo jamaa, katoka ulaya kaja kafanya kampeni ya nguvu, ikabidi damu imwagwe na wizi wa kura wa kutisha. Kwenye uchaguzi huu kumefanyika uhayawani wa wazi, kutokana na mawe aliyopiga kwenye kampeni, ikabidi watake kumpoteza maana kapoteza mvuto bandia wa jiwe, na yeye kwakuwa ni akili kubwa leo kawaachia manyoya mchana kweupe. Kuna unyama kama huo? Hiyo inaitwa show ya kibabe.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hata wewe ukikimbilia ubalozi unalindwa na sheria za kimataifa. Lakini usifikiri kwamba wewe ni wa maana sana ukisindikizwa na hao wazungu. Wamaana ni watanzania wenzako.
 
Hayo ndio matamanio yako. Namkubali sana huyo jamaa, katoka ulaya kaja kafanya kampeni ya nguvu, ikabidi damu imwagwe na wizi wa kura wa kutisha. Kwenye uchaguzi huu kumefanyika uhayawani wa wazi, kutokana na mawe aliyopiga kwenye kampeni, ikabidi watake kumpoteza maana kapoteza mvuto bandia wa jiwe, na yeye kwakuwa ni akili kubwa leo kawaachia manyoya mchana kweupe. Kuna unyama kama huo? Hiyo inaitwa show ya kibabe.
Anakimbia mapambano...
😀😀😀😀
Jamaa kumbe mikwara tu eti nitaingiza watu mitaani...ana bahati kakimbia mwenyewe, alipewa nafasi ya kuongea na kutukana wakati wa kampeni, rais kasema uchaguzi umeisha uchaguzi umeisha uchaguzi umeisha...jamaa kafyata mkia kala kona...
Lissu ni debe tupu, hamna kitu pale ni kama walivyo bavicha wengi, porojo tu midomoni..
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Lissu ni ntaalamu wa kujilinda kesgeria asidhurike na wahasimu wake kisiasa walipo on a hawamwezi katika uwanja wa sheria waliamua kutumia miguvu Mungu alimkinga kwa kuwatemea mate usoni.
Uzuri ni kwamba hawa waliotemewa mate usoni ba Mungu wameondolewa ufahamu ili wajiue kabisa kabisa kwa kamba yao wenyewe waliyofikiri ni ya kumuua Lissu.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Yaani nyinyi vichwa vyenu vimejaa ugoro tu! Mnafikiri mabeberu yatawaingiza Ikulu...!! Hahahahaha
 
Anakimbia mapambano...
😀😀😀😀
Jamaa kumbe mikwara tu eti nitaingiza watu mitaani...ana bahati kakimbia mwenyewe, alipewa nafasi ya kuongea na kutukana wakati wa kampeni, rais kasema uchaguzi umeisha uchaguzi umeisha uchaguzi umeisha...jamaa kafyata mkia kala kona...
Lissu ni debe tupu, hamna kitu pale ni kama walivyo navicha wengi, porojo tu midomoni..
Mwanaume aliposema uchaguzi umeisha tayari kibaraka akakimbilia ubalozini kwa mabeberu akaona ataozea mrupango!!
 
Back
Top Bottom