Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

KAMA SERIKALI IMETOA USHIRIKIANO KWA KUMPA PASSPORT MPYA INA SHIDA GANI NAE.
 
Kwa Lissu kuondoka, Ccm na serikali mji pange. Kuna radi ina kuja. Tatizo la viongizi na washabiki wa Ccm wana ona mwusho wa pua zao.
Hivi unajua Kambona aliondokaje na mabeberu wake wakati wa Azimio la Arusha umejaribu kusoma kidogo facts za incident ya Kambona mkuu? Kwa ufupi Kambona alikuwa very smart kuliko huyu mwanaharakati uchwara na kuhakikishia hapa ndipo mwisho wake huyu kibaraka Lissu. Baada ya kufeli kuleta machafuko aliyokuwa amepanga na mabwana zake kwenye uchaguzi huu asubiri tena mpaka 2025 wakati Saccos itakuwa iko hoi bin tabani. Let wait and see!!
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hamna mtanzania hata mmoja aliyemsindikiza isipokuwa mabeberu?

Sawa atakuwa rais wa Ujerumani ,Ubelgiji na Marekani
 
Mbwembwe zote za kijani,na mambo sasa,na wasiojurikana,wangethubutu kusimamisha magari ya ubalozi,waone,
Kila siku tunawaambia,Hawa wakuu wakiamua kitu,huyo jiwe atajinyea tu,
Akili za kisaccos! Uliona watz wanashida na huyo kibaraka wa mabeberu wakati wameshamnyoosha kwenye uchaguzi mbona hawakumsaidia kupata urais? Watz wanataka huyo kibaraka aondoke kabisa TZ ili akafie mbele huko!
 
Toa mifano uwezavyo, lakini Rais Magufuli atakuwa Rais wa Tanzania hadi 2025 atakapokabidhi kijiti kwa kada mwingine wa CCM. Tuliwaambia haya kabla ya uchaguzi na tunayasema tena baada ya uchaguzi. Pia tutayasema tena 2025.
Ngoja ngoma ya Lindi ienee kote tuone Chama Cha Majizi mtatokea wapi😎
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Ujumbe ni karibuni Tanzania nchi mpya ya kidikteta
 
Hao si wamesindikiza mke wao sasa shida iko wapi,
Ya Lisu muachie Lisu na ya serikari waiachie serikari,
Misheni yao imefeli hivyo tunawachora tu.
Serikari ina mambo mengi ya kufanya hivyo haina muda na mtu anyesindikizwa na watu wake.
Hao mabalozi itafika siku wataondoka wataiacha tanzania moja.
Wanaume tunatakiwa tuheshimiane,unamuita men mwenzio make wa mabalozi,una ushahidi na Hilo? Unajua maandishi hayafutiki,yanakaa hata miaka Mia?
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hii inadhihirisha kuwa wajerumani wanampenda sana Tundu Lisu . Watampa ubunge au uraisi siku akienda ujerumani.
 
Bora mgonjwa kaenda kuendelea na matibabu kuliko kuzungukazunguka kwenye jua asijepatwa na bacteria kwenye vidonda vyake.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.

Watanzania ‘t ulivyo watu wa ajabu sasa. Naomba sana lissu asitumie njia ya wazi kuomba wahisani na wafadhili wagome kutoa misaada. Akifanya kwa wazi wazi basi yeye suala la kua rais nchi Tanzania kwa watanzania hawa itakua ni ngumu mno. Ujue watanzania tunapenda kuliswa matango poli sana hivyo wapinzani wake watatumia hiyo hoja ya kukosa uzalendo na nchi yake.
 
Ni jambo la kushangaza kwamba "Wakili Msomi" Lissu hakulijua hilo! Ahahahahahahah!

Alilijua sana, ila alitaka kuwapa wananchi ushahidi usioacha shaka kuwa ccm hawakai madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali vyombo vya dola. Na kwa hilo, somo lake limeonekana waziwazi safari hii.
 
HAya uliyajua lini? Kabla au baada ya kura?

Pitia post zangu zote kabla ya uchaguzi, nimekuwa nikisema nchi hii hasa hasa chini ya awamu hii, hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Tanzania ni salama kwa kila mtu Lissu akiwemo. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Ni kweli usemayo mkuu,ila nashukuru Mungu ameondoka salama.
Ccm sio Wa kuwaamini mkuu wasingemuacha salama,either wangemfungulia kesi ya ugaidi angefungwa maisha au kumdedisha kabisa.
Ila mkuu Mungu ni mwaminifu.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Niwajibu wa wao wa kibalozi.
 
Pitia post zangu zote kabla ya uchaguzi, nimekuwa nikisema nchi hii hasa hasa chini ya awamu hii, hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mi ni shahidi mkuu ulitoa angalizo mapema kabla hata ya kampeni kuwa sio rahisi wapinzani hata wakishinda tume itawafanyia figisu.
 
Anakimbia mapambano...
😀😀😀😀
Jamaa kumbe mikwara tu eti nitaingiza watu mitaani...ana bahati kakimbia mwenyewe, alipewa nafasi ya kuongea na kutukana wakati wa kampeni, rais kasema uchaguzi umeisha uchaguzi umeisha uchaguzi umeisha...jamaa kafyata mkia kala kona...
Lissu ni debe tupu, hamna kitu pale ni kama walivyo bavicha wengi, porojo tu midomoni..

Uongozi ni marathoni boss, mbona bado mbio zinaendelea, au mmeshafikia tamati ya mapambano? Lisu ana miaka 52, mjinga tu ndio anaweza kuamini Lisu kakimbia pambano. Joe Biden ana miaka 76 leo hii Kawa rais wa US, nini Lisu?
 
Back
Top Bottom