Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Hata wewe ukikimbilia ubalozi unalindwa na sheria za kimataifa. Lakini usifikiri kwamba wewe ni wa maana sana ukisindikizwa na hao wazungu. Wamaana ni watanzania wenzako.
Huyo diktekta anajua watanzania ni wa maana? Anajua ni nini faida ya wananchi kuchagua wabunge wanaowataka? Anajua hasara za kuchomeka watu anaotaka yeye kuwa wabunge?
 
Pitia post zangu zote kabla ya uchaguzi, nimekuwa nikisema nchi hii hasa hasa chini ya awamu hii, hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Nakuunga mkono! Tatizo langu ni hao walioshiriki; akina Lissu, walitegemea miujiza gani? Kwa ufupi ulikuwa ujinga kutegemea ushindi wakati walionjeshwa aina mpya ya uchaguzi wakati wa serikali za mitaa.
Boss, nawe post zako naziona ulishabikia ukiamini Lissu atashinda. Ulikuwa 'serious?'
 
Huyo diktekta anajua watanzania ni wa maana? Anajua ni nini faida ya wananchi kuchagua wabunge wanaowataka? Anajua hasara za kuchomeka watu anaotaka yeye kuwa wabunge?
Ila haya maisha! Sio kuwa nakuandama ila nashangaa tu.
 
"huwezi kujisaidia kariakoo mchana kweupe ukatoka unapiga miruzi mikono mfukoni huku ukijiaminisha watu hawajakuona"... Earth mover

" ....tumeshinda kwa lushindo..."
 
Nakuunga mkono! Tatizo langu ni hao walioshiriki; akina Lissu, walitegemea miujia gani? Kwa ufupi ni ulikuwa ujinga kuetegemea ushindi wakati walionjeshwa aina mpya ya uchaguzi wakati wa serikali za mitaa.
Boss, nawe post zako naziona ulishabikia ukiamini Lissu atashinda. Ulikuwa 'serious?'

Sikuwa na tatizo na Lisu kushinda, bali wasiwasi wangu pekee ilikuwa ni yeye kutangazwa. Lisu amesaidia sana kuamsha waliolala, ile kutangaza tu kuwa akishindwa ataingiza watu barabarani ni bonge la bonus. Kapanda mbegu ambayo itazaa matunda tu maana box la kura kwa sasa halina maana tena.
 
Alilijua sana, ila alitaka kuwapa wananchi ushahidi usioacha shaka kuwa ccm hawakai madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali vyombo vya dola. Na kwa hilo, somo lake limeonekana waziwazi safari hii.
yan mkuu hii point ni ya muhimu mnoooooo...ukiangalia yoooooote aliyofanya lisu kwenye kampeni hii ni kama lengo lake kuu ilikiwa ni hili. inavoonekana ni kama tangu awali lisu alijua hakutakuwa na uchaguz lakin ni kama aliambiwa nenda Tz katudhibitishie kwa vitendo hayo unayoyasema. kaja katega mtego na ccm wamejaa humo fubuuuuu. ccm walipaswa kukwepa huu mtego lakin cha ajabu ni kama hata hawakishtukia kabisa yan. sasa lisu karudi na ushahidi woooooote mkononi. plan za wazungu ni za miaka mirefu.wanakuanzia mbaliiiii tratiiibu tu unaingia mwenyewe.
 
Masinki Muwe na akiba ya maneno msilishwe maneno na wenzenu wajinga halafu nyuma ya pazia wanawazunguka wanakwenda kuomba wasaidiwe misaada ya fedha za kuendeshea serikali.
 
Electronic passport yake kapewa jana na Serikali asiyoitambua. Sasa nn cha ajabu hapo au we unaona nani mshindi kama sio GoT sbb imeondolewa makelele wakati huu ni wakati wa kazi juu ya kazi.
Ingekuwa kwa mapenzi yao wasingempa. Hao mabalozi wakiandika report mbaya tutakosa ARV hapa mjini.
 
Chadema isidingo zenu hazina mvuto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakuunga mkono! Tatizo langu ni hao walioshiriki; akina Lissu, walitegemea miujia gani? Kwa ufupi ni ulikuwa ujinga kuetegemea ushindi wakati walionjeshwa aina mpya ya uchaguzi wakati wa serikali za mitaa.
Boss, nawe post zako naziona ulishabikia ukiamini Lissu atashinda. Ulikuwa 'serious?'
sasa mkuu hiv tuseme ulitaka ashiriki huku akisema hatoshinda?!!!! hakiyamungu madaraka hulevya sana kuliko gongo. ccm wanaona mwisho wa pua zao tu wakishashiba leo hawajui kuna na kesho na tumbo halijai hata ushindilie vip utakunya tu mavi na kesho utahitaji tena kula. sasa ngojeen matunda ya mlichopanda mda si mrefu. mmekosea sana kuwarahisishia wapinzani kazi ya kuidhihirishia dunia kwa ushahidi kuwa nchi inaendeshwa kidikteta. yaan ni kama mnapigana na Tyson jalafu anawapiga vijabu vya kidefuni badala ya nyie kukaza guard mmeondoka kabisa mikono mmeidondosha chini kiulegevu...mtapewa jab na undercuts za kutosha sasa....subirini tupo hapa. mabeberu hakuna kitu wanachukia kama udikteta..walishindwa kina sadam, ghadaf wenye visima vya mafuta na jeuri yao ya kiarabu ije iwe jiwe?!!! ngoja tuone...game ndo kwaaaaaaanza limeaanza
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Gaddafi wa Libya upumzike pema peponi!
 
Hakuna ofa ya tiketi na mimi niende hata korea kwa kiduku nikatembee tembee huko
 
Kama ambavyo ccm haina mvuto wananchi hawana mpango hata na hilo bunge lenu
 
Ile mikesi yao vipiii [emoji23][emoji23][emoji23]Lissu kawaacha solemba
 
Hao si wamesindikiza mke wao sasa shida iko wapi,
Ya Lisu muachie Lisu na ya serikari waiachie serikari,
Misheni yao imefeli hivyo tunawachora tu.
Serikari ina mambo mengi ya kufanya hivyo haina muda na mtu anyesindikizwa na watu wake.
Hao mabalozi itafika siku wataondoka wataiacha tanzania moja.
Serikari ndio nini..alafu unakuta ana PHD ...unarudia mara mbili..
 
Jiwe anajiona ni imara, lakini lini umemuona anazunguka mitaani akiwa mwenyewe, ili tuamini yeye ni imara kwa huu muktadha wako?
Ni Rais gani umemshuhudia anazunguka mtaani mwenyewe, halafu ili iweje labda?
 
Back
Top Bottom