Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Sheria sio za serikali bali ni sheria za nchi!So tuna katiba ya nchi,hatuna katiba ya serikali!Haijalishi kura yako. Uzuri ni kwamba unaishi chini ya sheria za serikali usiyoipenda, be bold Kama TL na Lema jisogeze msumbiji
Hawa wahuni wataondoka na itakuja serikali nyingine!