Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Hampaswi kujipendekeza mnatakiwa mtulie. Na mtatulia tu soon, hizi kelele humu zitaisha na KAZI ITAENDELEA

Angalia nimejiunga lini hapa jukwaani, na jaribu kufuatilia kama nimewahi kutulia.
 
Haijalishi kura yako. Uzuri ni kwamba unaishi chini ya sheria za serikali usiyoipenda, be bold Kama TL na Lema jisogeze msumbiji

Siwaigi wao, kila mtu anatumia njia yake kupambana na genge haramu la ccm. Mbinu za kuwakataa ccm zipo nyingi, ni suala la maamuzi njia ipi itumike.
 
Nyie tulieni... safari hii Dunia imeonaaa
unafikiri yakitokea machafuko hapa wewe utabebwa mgongoni pa tundulisu ili usidhurike hebu tuweni na akili wenzenu walianza kama mnavyoanza, watu wamepiga kura kiongozi kapatikana kwa haki ama si haki amini kwamba maisha yako na mafanikio yako utayatafuta ww mwenyew kwa akili na nguvu zako sio rais wala mbunge wala diwani tusijidanganye watanzania na hata hiyo dunia mnayoiamini inamatatizo kibao ukisema shida ni ajira hauwez kuniambia marekani raia wote ni waajiriwa kuweni na akili
 
Balozi anasema Lissu anaenda kwa matibabu, Lissu anasema anaenda kwenye mapambano kahamisha uwanja wa mapambano. Lugha gongana.

Balozi wa Marekani maadamu Trump kapigwa sio hoja tena. Hana ishu asubiri Biden ale kichwa chake tu. Lissu kairahisishia serikali mapambano. Kazi iliyobaki kwa serikali ni kukata umeme na kugonga kichwa cha kila atakaye onesha anatumiwa na Lissu hapa nchi. Lissu hawezi kufanya lolote la maana bila ya kupata msaada wa watu walio hapa nchini. Kila atayeonesha dalili za kusaidia huu upuuzi wa Lissu ni kula naye sahani moja. Ili ili ili iliii mwisho wa siku Lissu aogopwe kama ukoma.

Askari bora ni yule awezaye kusoma ramani ya uwanja wa mapambano na kuchukua necessary steps za survival ili kuweza ku execute Plan B. Sasa hivi hali za Jusa & Mazrui ni tete wakikubali wote kwenda front kwa sasa wataishia kuuawa au kufanywa vilema wa kudumu na policcm! Acha wajisogeze uwanja usiokuwa na policcm ili wam target mwenye mbwa mwenyewe!
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Kwa mujibu wa Bbc swahili Lissu alisindikizwa na maafisa wa ubalozi sio mabalozi. Kwa hiyo bado unaendeleza uongo wako kama ulivyodanganya kiwa Nhif wameondoa baadhi ya dawa kwenye orodha ya dawa wanazotoa.
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Ujumbe in kwamba, hakuwa mgombea wa wananchi, yupo kimaslahi ya Mabeberu ambao wazalendo wamewashinda.
Ni ujumbe pia kwamba Tanzania ni Taifa Imara ambalo beberu mmoja, hafui dafu hadi waungane.
 
Kwa Lissu kuondoka, Ccm na serikali mji pange. Kuna radi ina kuja. Tatizo la viongizi na washabiki wa Ccm wana ona mwusho wa pua zao.
Tundu Lissu ajichunge sana, hata huko aliko, asifikirie yuko salama. Hao hao waliomsindikiza wanaweza wakawa maadui zakesho. Siasa ni maslahi
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Kwakweli ata dunia itashangaa sna utawala wa hyu mhutu, na itazidi kudhihirika wazi kuwa ata lile shambulio ni wao, wako uchi na hawaangaiki kufunika tupu zao hawa viongoz wanaolazimisha kuongoza watu wasiowataka.
 
Tanzania ni salama kwa kila mtu Lissu akiwemo. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.

Si ndo pandikizi lao, tulimsurubisha kwenye sanduku la kura mpaka haaamini kilichomkuta.
Vitu vilivyosababisha Tundu Lissu apigwe kipigo cha mbwa koko ni
1. Sera ya kuamini Mwanaume kuolewa na Mwanaume Mwenzake ni haki. Wakati yeye Mwenyewe hakuwatambulisha Watanzania kuwa ameolewa na Mwanaume gani.
2. Kulazimisha Watanzania wasimwamini Mungu wamwamini yeye. Wakati wakati wa Kampeni alikuwa anashinda kanisani hapo aliwachanganya Wapagani wenzake.
3. Kuamini Tanzania kuna korona wakati yeye Mwenyewe kwenye kampeni alikuwa havai Barakoa, Hanawi mikono, alikuwa hana sanitizer, Hana Social Distance n.k. Hapo aliwachanganya Wapiga kura.
4. Kujitangaza ana uraia wa Kenya na Ubeligiji. Wakati Watanzania walikuwa wanampigia kura mtanzania mwenzao. Na Tanzania hatuna uraia pacha, hiki ndicho kimesababisha asipigiwe kura.
5. Wapiga kura kutoelewa wakimchagua atawafanyia nini. Hii nayo iliacha doa na kupelekea kipigo cha Mbwa koko. Watu walikuwa hawaelewi huyu anapitishwa kimaonesho au anaomba kura.
6. Kutoungwa kwake na viongozi wake wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wao Mbowe. Hii nayo ilisababisha kipigo kitakatifu

NB: Walipe Madeni ya Watu, hatutaki kufirisi Watanzania wakati yeye anauraia tata wa Kenya na Ubeligiji.
 
Acha matusi ndugu yangu,siasa siyo chuki,ccm siyo mama yako wala kaburi lako,UTAIACHA,walikuwepo wakaiacha ten a was zip is hi acha were hata kadi yako haijulikani hata Kwa Mwenyekiti wa mtaa.
Naamini hata Tundu Lisu siyo baba yako.
 
Back
Top Bottom