Gari ya Balozi ni CD 1, hii ni ya Ubalozi wa
Gari ya Balozi ni CD 1, hii ni ya Ubalozi wa
Wakitafutwa wenye akili mtakuwa wa aina ya wana ccm na wagonga meza kama kibajaji?Nyie jamaa mara hii mmeshasahau tarehe Kama hizi mwezi uliopita mlikuwa mnadai Ni YEYE, mara Lissu sio Lowassa, SASA BASI.... Leo mnamsifia kukimbia uwanja wa mapambano!!?????... Haya mlimwita Lema Mandela , kakimbilia Kenya bado mnamuona mjanja!???.. Vipi Nguvu ya UMMA imeishia wapi?, Vipi maandamano bila kikomo!??.. Ndo maana huwa tunawaambia CCM itawaongoza milele maana hamna akili.
Niko likizo mimi!!!!!Kalale bwana
Hapa suala siyo kusindikizwa na mabalozi watatu. Ni kwamba hata mabalozi wote wangeamua kumsindikiza,watanzania tumeshaamua.Ni mshenzi na aondoke na wala Tanzania haitasimama kwa ajili ya wapuuzi hawa .Kwenye kampeni anahubiri kuwa patachimbika , wakati mgombea wa CCM anahubiri amani na maendeleo na yale ambayo yameshafanyika,unadhani wananchi watulivu katika nchi yao watachagua nini ? Kwa ujumla Lisu alikuja kuwaharibia CHADEAMA na wasirudie tena ujinga huu.sikutegemea kwamba angepatikana hata mbunge mmoja kutoka CHADEMA kwa staili ile .Kwa vyama vingine ukiondoa ACT kwa kweli kulikuwa na hekma katika kampeni zao.Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Kuna ujinga kama kuingia na mabegi yenye kura feki kwenye vituo vya kupigia kura?Hapa suala siyo kusindikizwa na mabalozi watatu. Ni kwamba hata mabalozi wote wangeamua kumsindikiza,watanzania tumeshaamua.Ni mshenzi na aondoke na wala Tanzania haitasimama kwa ajili ya wapuuzi hawa .Kwenye kampeni anahubiri kuwa patachimbika , wakati mgombea wa CCM anahubiri amani na maendeleo na yale ambayo yameshafanyika,unadhani wananchi watulivu katika nchi yao watachagua nini ? Kwa ujumla Lisu alikuja kuwaharibia CHADEAMA na wasirudie tena ujinga huu.sikutegemea kwamba angepatikana hata mbunge mmoja kutoka CHADEMA kwa staili ile .Kwa vyama vingine ukiondoa ACT kwa kweli kulikuwa na hekma katika kampeni zao.
Of course,mabalozi kama hawana kazi basi hizo ndio kazi zao wameshamsindikiza basi warudi ofisini kwao waendelee na mengine au hata ikiwapendeza waende na huko Kenya kumsalimia Lema.Lakini Tanzania ipo Palepale.Watu wamejawa na woga eti kisa wazungu.Ukoloni ulishaisha kwa hiyo kila mtu alinde chake na kama kuna kitu wanataka taratibu zipo namna ya 'kuamiliana' .Lakini kwa kutumia hila za vibaraka na wasaliti tunasema HATUTAKI na waende zao.Mnataka kutuletea ujinga wenu hapa.
Bado inabaki kuwa despite the flawed balloting, Lissu remains the game changer and visionary leader. Mhutu has illegally seized bongoland awaiting his shameful end in a couples of years to come while the world is eagerly waiting for the victorious return of Lissu to move Tanzania to the next level.Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hatuaminiki.Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hivi watatu ni nani US na German sawa kaangalie kiuchumi wakome Joe chama chake kinaitwajeWakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
CCM Hai.Gari ya Balozi ni CD 1, hii ni ya Ubalozi wa
Ungekuwa unafikiri vizuri, ungejiuliza kwa nini leo cement inauzwa 35,000! Kwa taarifa yako Lisu ni jasili kuliko mtanzania yeyote yule!!!
Tundu Lissu hajawahi kuwa salama Tanzania.Tanzania ni salama kwa kila mtu Lissu akiwemo. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Na kwa kweli imedhihirika....Alilijua sana, ila alitaka kuwapa wananchi ushahidi usioacha shaka kuwa ccm hawakai madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali vyombo vya dola. Na kwa hilo, somo lake limeonekana waziwazi safari hii.
Mtu aliyekimbia wanamsifia, wakati anaomba kugombea alisema anatakiwa mgombea awe mtu mwenye uwezo wa kuingiza watu barabarani!! Kamwingiza nani ss!Nyie jamaa mara hii mmeshasahau tarehe Kama hizi mwezi uliopita mlikuwa mnadai Ni YEYE, mara Lissu sio Lowassa, SASA BASI.... Leo mnamsifia kukimbia uwanja wa mapambano!!?????... Haya mlimwita Lema Mandela , kakimbilia Kenya bado mnamuona mjanja!???.. Vipi Nguvu ya UMMA imeishia wapi?, Vipi maandamano bila kikomo!??.. Ndo maana huwa tunawaambia CCM itawaongoza milele
Hakuna lolote, tatizo lenu bado mna akili za kizamani, wazungu hawana nguvu kama za enzi za ukoloni. Huyu watamsahau baada ya miezi miwili tu.Kwa Lissu kuondoka, Ccm na serikali mji pange. Kuna radi ina kuja. Tatizo la viongizi na washabiki wa Ccm wana ona mwusho wa pua zao.
Jussa akimbilie india na mazrui OmanAskari bora ni yule awezaye kusoma ramani ya uwanja wa mapambano na kuchukua necessary steps za survival ili kuweza ku execute Plan B. Sasa hivi hali za Jusa & Mazrui ni tete wakikubali wote kwenda front kwa sasa wataishia kuuawa au kufanywa vilema wa kudumu na policcm! Acha wajisogeze uwanja usiokuwa na policcm ili wam target mwenye mbwa mwenyewe!