Tundu Lissu amekosea sana baada kushatoa taarifa kwamba wanataka kumuua ilikuwa inatosha wala sio kuondoka nchi then kama hilo zoezi lingefanyika au kujaribu tu kufanyika kweli Tz ingekuwa na hali ngumu kimataifa lakini sasa it is good for nothing watawala wana kila sababu kusema ni woga wa Tundu Lissu nk.Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Ni kinyume chake, Mambosasa na genge lake la assassin's limeshindwa kuwazuia mabalozi watatu wakiwa na Tundu Lissu.Ujumbe in kwamba, hakuwa mgombea wa wananchi, yupo kimaslahi ya Mabeberu ambao wazalendo wamewashinda.
Ni ujumbe pia kwamba Tanzania ni Taifa Imara ambalo beberu mmoja, hafui dafu hadi waungane.
Tundu Lissu amekosea sana baada kushatoa taarifa kwamba wanataka kumuua ilikuwa inatosha wala sio kuondoka nchi then kama hilo zoezi lingefanyika au kujaribu tu kufanyika kweli Tz ingekuwa na hali ngumu kimataifa lakini sasa it is good for nothing watawala wana kila sababu kusema ni woga wa Tundu Lissu nk.
Je wewe unaweza kuweka rehani uhai wako kwa mara pili baada ya mara ya kwanza kuchungulia kaburi?Tundu Lissu amekosea sana baada kushatoa taarifa kwamba wanataka kumuua ilikuwa inatosha wala sio kuondoka nchi then kama hilo zoezi lingefanyika au kujaribu tu kufanyika kweli Tz ingekuwa na hali ngumu kimataifa lakini sasa it is good for nothing watawala wana kila sababu kusema ni woga wa Tundu Lissu nk.
Daaah!!! Tunaambiwa Kwa Kishindo"Kumbe Walijisaidia K'koo Mchana Kweupe".huku EU masupana mazito mazito yanaandaliwa
huwezi kujisaidia kariakoo mchana kweupe ukatoka unapiga miruzi mikono mfukoni huku ukijiaminisha watu hawajakuona
Uko Sahihi Mkuu Askari Mwerevu Hawezi Kuingia Uwanja wa Vita Wakati anaona Uwanja sio Tambalale...Askari bora ni yule awezaye kusoma ramani ya uwanja wa mapambano na kuchukua necessary steps za survival ili kuweza ku execute Plan B. Sasa hivi hali za Jusa & Mazrui ni tete wakikubali wote kwenda front kwa sasa wataishia kuuawa au kufanywa vilema wa kudumu na policcm! Acha wajisogeze uwanja usiokuwa na policcm ili wam target mwenye mbwa mwenyewe!
Wanatuma ujumbe kuwa dikteta ameshindwa na hawako pamoja nayeWakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Umeandika point snAskari bora ni yule awezaye kusoma ramani ya uwanja wa mapambano na kuchukua necessary steps za survival ili kuweza ku execute Plan B. Sasa hivi hali za Jusa & Mazrui ni tete wakikubali wote kwenda front kwa sasa wataishia kuuawa au kufanywa vilema wa kudumu na policcm! Acha wajisogeze uwanja usiokuwa na policcm ili wam target mwenye mbwa mwenyewe!
Si angekamatwa kwenye immigration desk? Labda kama kwa sasa anabeba passport ya nchi nyingine, au kuna special diplomatic arrangement. Au ndio kuogopa kukatiwa misaada?Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Magufuli and his current CCM are clueless on what's going to hit them.Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Umaruwi haujakutoka bado? Maruwi ni kwao na mkaruka ataja rinu. Bado kabisa. TAL ni yeye mmoja wa pekee wa ukweli hakuna mwingine TAL katika dunia hii.Tundu Lissu ni nani katika Dunia hii?
Siyo siri, serikali imefunika kombe wanaharamu wapite!Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Yaani Mkuu we acha tu. Hawa Jamaa wa CCM pamoja na vyombo vyao vya Usalama wamebaki midomo wazi Mabeberu walivyokuwa na nguvu.Je wewe unaweza kuweka rehani uhai wako kwa mara pili baada ya mara ya kwanza kuchungulia kaburi?
Yaani unataka arudi kufanya jaribio kwenye uhai wake?Watu mnashangaza sana!Tundu Lissu amekosea sana baada kushatoa taarifa kwamba wanataka kumuua ilikuwa inatosha wala sio kuondoka nchi then kama hilo zoezi lingefanyika au kujaribu tu kufanyika kweli Tz ingekuwa na hali ngumu kimataifa lakini sasa it is good for nothing watawala wana kila sababu kusema ni woga wa Tundu Lissu nk.
Hawa wote waliotekwa kupotezwa na kuuawa ni salama hiyo pia ??.Tanzania ni salama kwa kila mtu Lissu akiwemo. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.