Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Magufuli and his current CCM are clueless on what's going to hit them.

My only worry is for our country not to be turned into another Zimbabwe or even worse Libya!
basi ukiongea kizungu nawe unajionaa bebeeru...mna matatizo sana kutwa kulalamika na kutegemea mabwana zenu badala ya kufanya kazi....huyo Tundu ni puppet na sikuzote mole hulindwa ,..hujiulizi alipata wapi ela za kumlipa amsterdam wakati kesi moja jamaa anachukua si chini ya usd 5 million..kama mna uchungu sana kaandamaneni trump atoke Urais
 
Electronic passport yake kapewa jana na Serikali asiyoitambua. Sasa nn cha ajabu hapo au we unaona nani mshindi kama sio GoT sbb imeondolewa makelele wakati huu ni wakati wa kazi juu ya kazi.
Wewe unadhani nchi ni Mali ya jiwe
 
Very soon habari kuhusu Chadema na viongozi wake zitaisha humu kama kauli ya "Chama Kikubwa cha Upinzani" ilivyokwisha baada ya uchaguzi! Ahahahahahaha!
Unayo habari mfuko wa cement elf 35? au haikuhusu
 
Balozi anasema Lissu anaenda kwa matibabu, Lissu anasema anaenda kwenye mapambano kahamisha uwanja wa mapambano. Lugha gongana.

Balozi wa Marekani maadamu Trump kapigwa sio hoja tena. Hana ishu asubiri Biden ale kichwa chake tu. Lissu kairahisishia serikali mapambano. Kazi iliyobaki kwa serikali ni kukata umeme na kugonga kichwa cha kila atakaye onesha anatumiwa na Lissu hapa nchi. Lissu hawezi kufanya lolote la maana bila ya kupata msaada wa watu walio hapa nchini. Kila atayeonesha dalili za kusaidia huu upuuzi wa Lissu ni kula naye sahani moja. Ili ili ili iliii mwisho wa siku Lissu aogopwe kama ukoma.
sijawahi kuona kama wewe hivi ukiwekewa vikwazo vya kimataifa haitaji kuwepo mtu humu ndani subiri kidogo utajua wewe mammalia
 
Sikuwa na tatizo na Lisu kushinda, bali wasiwasi wangu pekee ilikuwa ni yeye kutangazwa. Lisu amesaidia sana kuamsha waliolala, ile kutangaza tu kuwa akishindwa ataingiza watu barabarani ni bonge la bonus. Kapanda mbegu ambayo itazaa matunda tu maana box la kura kwa sasa halina maana tena.
Uko sahihi pia lakini jiulize baada ya uchaguzi, amefanya nini? Kukimbilia ubalozini kwa maigizo na baadaye kuondoka na ahadi za kubadilisha uwanja wa mapambano, wakati alishatangaza kwamba atakwenda kwenye matibabu.!! Aliowaaminisha yeye ni shujaa wanajisikiaje? Kesho hawatamuamini tindo kwa imani kwamba ndo walivyo!
 
Baada ya uchaguzi amefanya yaliyo ndani ya uwezo wake, labda ww ungesema ulitaka afafanye nini zaidi. Kubadilisha uwanja wa mapambano ni jambo la kawaida sana. Mfano nchi nyingi za kusini mwa Afrika, wakati wa ukombozi watu wao wengi walikuwa hapa nchini, ni kwanini hawakubaki huko huko kwao ili wafanye hayo mapambano wakiwa humo humo ndani? Kabila Baba alimkimbia dictator Mobutu kisha akaja Tanzania, na alirejea Zaire kuikomboa. Mbona hakubaki huko huko ili kuendeleza mapambano?
 
sijawahi kuona kama wewe hivi ukiwekewa vikwazo vya kimataifa haitaji kuwepo mtu humu ndani subiri kidogo utajua wewe mammalia

Hata corona bado mwasubiria vikwazo vyake. Sijui vitaanza vya corona ama vya uchaguzi? Trump kesha pigwa panga pamoja ba kutuletea balozi wa USA wa kimkakati kabla ya uchaguzi.

Mafanikio ya balozi huyo ni kumsindikiza Lissu uwanja wa ndege aondoke mchini baada ya kumuombea ruhusa ya kuhakikishiwa na serikali kuwa hatakamatwa.
 
Uko sahihi pia lakini jiulize baada ya uchaguzi, amefanya nini? Kukimbilia ubalozini kwa maigizo na baadaye kuondoka na ahadi za kubadilisha uwanja wa mapambano, wakati alishatangaza kwamba atakwenda kwenye matibabu.!! Aliowaaminisha yeye ni shujaa wanajisikiaje? Kesho hawatamuamini tindo kwa imani kwamba ndo walivyo!
Una ushahidi gani kama anakimbia kwa maigizo?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya uchaguzi amefanya yaliyo ndani ya uwezo wake, labda ww ungesema ulitaka afafanye nini zaidi. Kubadilisha uwanja wa mapambano ni jambo la kawaida sana. Mfano nchi nyingi za kusini mwa Afrika, wakati wa ukombozi watu wao wengi walikuwa hapa nchini, ni kwanini hawakubaki huko huko kwao ili wafanye hayo mapambano wakiwa humo humo ndani? Kabila Baba alimkimbia dictator Mobutu kisha akaja Tanzania, na alirejea Zaire kuikomboa. Mbona hakubaki huko huko ili kuendeleza mapambano?
Akikujibu hili nitag

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi pia lakini jiulize baada ya uchaguzi, amefanya nini? Kukimbilia ubalozini kwa maigizo na baadaye kuondoka na ahadi za kubadilisha uwanja wa mapambano, wakati alishatangaza kwamba atakwenda kwenye matibabu.!! Aliowaaminisha yeye ni shujaa wanajisikiaje? Kesho hawatamuamini tindo kwa imani kwamba ndo walivyo!
Ulitaka hadi wamuue kama Ben saanane ndiyo msikie raha. Kakwepa huo mtege wenu
 
Hao si wamesindikiza mke wao sasa shida iko wapi,
Ya Lisu muachie Lisu na ya serikari waiachie serikari,
Misheni yao imefeli hivyo tunawachora tu.
Serikari ina mambo mengi ya kufanya hivyo haina muda na mtu anyesindikizwa na watu wake.
Hao mabalozi itafika siku wataondoka wataiacha tanzania moja.
Hii ni ngumu kumeza lakini ndiyo ualisia
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hahahaha kibaraka kaondoka afadhali na bado tunamsubiri arejee tena tumkomoe tena mshenzi huyu
 
Mbwembwe zote za kijani,na mambo sasa,na wasiojurikana,wangethubutu kusimamisha magari ya ubalozi,waone,
Kila siku tunawaambia,Hawa wakuu wakiamua kitu,huyo jiwe atajinyea tu,
LOL kutoka kuchukua nchi mpaka kusimamisha gari? 🙄

Ninyi mlisema Magufuli mwisho oktoba asithubutu kuleta fyokofyoko atakiona

Mmeporomoka madaraja mpaka kutishia kusimamisha gari atakiona cha mtema kuni

Haya yetu macho!
 
huku EU masupana mazito mazito yanaandaliwa

huwezi kujisaidia kariakoo mchana kweupe ukatoka unapiga miruzi mikono mfukoni huku ukijiaminisha watu hawajakuona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] legendary comment
 
yan mkuu hii point ni ya muhimu mnoooooo...ukiangalia yoooooote aliyofanya lisu kwenye kampeni hii ni kama lengo lake kuu ilikiwa ni hili. inavoonekana ni kama tangu awali lisu alijua hakutakuwa na uchaguz lakin ni kama aliambiwa nenda Tz katudhibitishie kwa vitendo hayo unayoyasema. kaja katega mtego na ccm wamejaa humo fubuuuuu. ccm walipaswa kukwepa huu mtego lakin cha ajabu ni kama hata hawakishtukia kabisa yan. sasa lisu karudi na ushahidi woooooote mkononi. plan za wazungu ni za miaka mirefu.wanakuanzia mbaliiiii tratiiibu tu unaingia mwenyewe.
well noted MKUU
 
Back
Top Bottom