Chunda
Senior Member
- Apr 7, 2016
- 182
- 251
Well reasoned and saidAskari bora ni yule awezaye kusoma ramani ya uwanja wa mapambano na kuchukua necessary steps za survival ili kuweza ku execute Plan B. Sasa hivi hali za Jusa & Mazrui ni tete wakikubali wote kwenda front kwa sasa wataishia kuuawa au kufanywa vilema wa kudumu na policcm! Acha wajisogeze uwanja usiokuwa na policcm ili wam target mwenye mbwa mwenyewe!