Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ni maonesho ya watu Wajinga weus kama ww sio?
Unauliza au unapigia jibu mstari?
Ni maonesho ya watu Wajinga weus kama ww sio?
Endeleni kujidanganya!! Issue hasa za Zenji lazima imuache mtu bila nguo, ni suala la muda tu.Hao si wamesindikiza mke wao sasa shida iko wapi,
Ya Lisu muachie Lisu na ya serikari waiachie serikari,
Misheni yao imefeli hivyo tunawachora tu.
Serikari ina mambo mengi ya kufanya hivyo haina muda na mtu anyesindikizwa na watu wake.
Hao mabalozi itafika siku wataondoka wataiacha tanzania moja.
Afu wanamshabikia Biden wakati hawajui chama chao kwa masuala ya demokrasia na Haki za binadamu duniani huwa hawamuonei mtu aibu!! Yaani walau Trump aliamua kuacha masuala ya waafrica maana aliona ni kupoteza muda na resources za wamarekani maana viongozi wa Africa tabia ni zile zile. Ubinafsi na udikteta!!nawavimbe wapasuke.......UE hoyeeee USA hoyeee
Kaka kuwa mwerevu ni kitu kizuri mno....Lisu anawazidi mno wote wale...ccm walijua Tundu Lissu amenasa.
..kumbe mwenzao ana plan A, B, mpaka Z.
Baada ya kutoa solo, akarudi Ubeleji sio? Ahahahahahaja!Alilijua sana, ila alitaka kuwapa wananchi ushahidi usioacha shaka kuwa ccm hawakai madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali vyombo vya dola. Na kwa hilo, somo lake limeonekana waziwazi safari hii.
Baada ya kutoa solo, akarudi Ubeleji sio? Ahahahahahaja!
Alimiminiwa risasi lakini licha ya kutoa taarifa mara kadhaa kwenye vyombo vua dola kwamba kuna watu wanamfuatilia.Tanzania ni salama kwa kila mtu Lissu akiwemo. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Tusiwe wepesi kuongea haya tuwe na subira maana hatutapungukiwa kitu.Electronic passport yake kapewa jana na Serikali asiyoitambua. Sasa nn cha ajabu hapo au we unaona nani mshindi kama sio GoT sbb imeondolewa makelele wakati huu ni wakati wa kazi juu ya kazi.
Ni kumvua nguo jiwe
nawavimbe wapasuke.......UE hoyeeee USA hoyeee
kama alivyo babako!Hakuna ujumbe Wowote wa maana umetumwa hao wote waliomsindikiza Lissu ni mashoga wenzake
Akili za Kijinga sana hizi. Ushoga ni hali ya mahusianonya watunwa jinsia moja. Kwahiyo unawahusishaje watu wenyeamlaka ya uwakilishi wa nchi zao wenye jinsia tofauti na ushoga?? Inawezekena mimengenyo ndani ya mwili wako inawaka na hali ya kutamani mapenzi ya jinsia moja.Hakuna ujumbe Wowote wa maana umetumwa hao wote waliomsindikiza Lissu ni mashoga wenzake
wewe kama sio mzinzi basi mchawi🙂Kwa Lissu kuondoka, Ccm na serikali mji pange. Kuna radi ina kuja. Tatizo la viongizi na washabiki wa Ccm wana ona mwusho wa pua zao.
Majuto mjukuuHao si wamesindikiza mke wao sasa shida iko wapi,
Ya Lisu muachie Lisu na ya serikari waiachie serikari,
Misheni yao imefeli hivyo tunawachora tu.
Serikari ina mambo mengi ya kufanya hivyo haina muda na mtu anyesindikizwa na watu wake.
Hao mabalozi itafika siku wataondoka wataiacha tanzania moja.
Hahaahahhaahahahahuku EU masupana mazito mazito yanaandaliwa
huwezi kujisaidia kariakoo mchana kweupe ukatoka unapiga miruzi mikono mfukoni huku ukijiaminisha watu hawajakuona
Upumbavu unaanzia pale mnapodai tume sio huru lakini mnashiriki huku mkitegemea ushindi. Kwa katiba hii inayoruhusu viongozi wa tume ya uchaguzi kuteuliwa na Raisi, vyama vya upinzani haviwezi kuiondoa CCM madarakani. Labda aje Raisi fala.Mm kwa maoni yangu wewe ndiyo mpumbavu rudia neno mpumbavu. Unataka kumwambia ule uchaguzi ulikuwa huru na MAGUFULI alishinda kwa haki??? Mm nilipiga kura oystabay polisi pale kura zilipigwa kabla ya kuanza kwa zoezi lenyewe
😂 Mtaji pekee walionao CDM ni watanzania wenye akili kama zakoInaweza kuwa kweli maana hakuna mtanzania Ana akili nyingi Kama Tundu Lissu