Una vinasaba kama vya Haji Manarahuku EU masupana mazito mazito yanaandaliwa
huwezi kujisaidia kariakoo mchana kweupe ukatoka unapiga miruzi mikono mfukoni huku ukijiaminisha watu hawajakuona
Una vinasaba kama vya Haji Manarahuku EU masupana mazito mazito yanaandaliwa
huwezi kujisaidia kariakoo mchana kweupe ukatoka unapiga miruzi mikono mfukoni huku ukijiaminisha watu hawajakuona
Si mtanzania na pasport kapewa ya nini? Kuwa na akili nawewe.Wanatuthibitishia Tundu lisu si MTANZANIA
huku EU masupana mazito mazito yanaandaliwa
huwezi kujisaidia kariakoo mchana kweupe ukatoka unapiga miruzi mikono mfukoni huku ukijiaminisha watu hawajakuona
Kwani lisu ndio anazalisha cement? Kichwa chako ni ugoro. Tuliwaambia kuwa 2020 tunafuta upinzani, hamkuamini. Imeisha hiyooooooooooooooooooUngekuwa unafikiri vizuri, ungejiuliza kwa nini leo cement inauzwa 35,000! Kwa taarifa yako Lisu ni jasili kuliko mtanzania yeyote yule!!!
Askari bora ni yule awezaye kusoma ramani ya uwanja wa mapambano na kuchukua necessary steps za survival ili kuweza ku execute Plan B. Sasa hivi hali za Jusa & Mazrui ni tete wakikubali wote kwenda front kwa sasa wataishia kuuawa au kufanywa vilema wa kudumu na policcm! Acha wajisogeze uwanja usiokuwa na policcm ili wam target mwenye mbwa mwenyewe!
Wanatuthibitishia Tundu lisu si MTANZANIA
Imagine kila kiongozi wa upinzani duniani akitishiwa kuuliwa anahama ile nchi ivi kungekuwa na mabadiliko yeyote ulimwenguni? Kiongozi gani kwa Africa ambaye hajatishwa na watawala kuuliwa? je walihama nchi? Tanganyika bado sana hamjakomaa kisiasa mabadaliko kwa huko yako mbali sana chezeeni vifiro vya ccm kwanza halafu mtajua cha kufanyaYaani unataka arudi kufanya jaribio kwenye uhai wake?Watu mnashangaza sana!
Passport ni haki yake kuwa nayo hata Wewe unapaswa kuwa nayoElectronic passport yake kapewa jana na Serikali asiyoitambua. Sasa nn cha ajabu hapo au we unaona nani mshindi kama sio GoT sbb imeondolewa makelele wakati huu ni wakati wa kazi juu ya kazi.
Ficha upumbavu wako, hata ccm isipokuwepo bado nchi haitakosa serikali. Au umekaririshwa?Electronic passport yake kapewa jana na Serikali asiyoitambua. Sasa nn cha ajabu hapo au we unaona nani mshindi kama sio GoT sbb imeondolewa makelele wakati huu ni wakati wa kazi juu ya kazi.
Kumbe alitumwa, siyo??? Basi wananchi walifanya vyema kumkataa kibaraka na dalaliyan mkuu hii point ni ya muhimu mnoooooo...ukiangalia yoooooote aliyofanya lisu kwenye kampeni hii ni kama lengo lake kuu ilikiwa ni hili. inavoonekana ni kama tangu awali lisu alijua hakutakuwa na uchaguz lakin ni kama aliambiwa nenda Tz katudhibitishie kwa vitendo hayo unayoyasema. kaja katega mtego na ccm wamejaa humo fubuuuuu. ccm walipaswa kukwepa huu mtego lakin cha ajabu ni kama hata hawakishtukia kabisa yan. sasa lisu karudi na ushahidi woooooote mkononi. plan za wazungu ni za miaka mirefu.wanakuanzia mbaliiiii tratiiibu tu unaingia mwenyewe.
Inategemea na mtu mwenyewe & quality ya mdomo wake. Hivi huyu Mzungu wenu ndiye wa kwanza kugombea Urais Tanzania???Imagine kila kiongozi wa upinzani duniani akitishiwa kuuliwa anahama ile nchi ivi kungekuwa na mabadiliko yeyote ulimwenguni? Kiongozi gani kwa Africa ambaye hajatishwa na watawala kuuliwa? je walihama nchi? Tanganyika bado sana hamjakomaa kisiasa mabadaliko kwa huko yako mbali sana chezeeni vifiro vya ccm kwanza halafu mtajua cha kufanya
IQTanzania ni salama kwa kila mtu Lissu akiwemo. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Naona unaandika yale yale aliyoyasema yeye akihojiwa na DW. Hii inaonesha bado hutofautishi wapigania uhuru wa miaka ya 60 na 70 na vyama vya upinzani wa leo hii kwenye nchi kama TZ ambayo haina vita. Huyu ni mtu anayehitaji kusaidiwa kufikiri. Lissu ana matatizo ya kuona 'logic.' Kwa papala hizo na kujitangazia kwamba yeye ni mkaazi wa Ubelgiji, nani amuunge mkono TZ?Baada ya uchaguzi amefanya yaliyo ndani ya uwezo wake, labda ww ungesema ulitaka afafanye nini zaidi. Kubadilisha uwanja wa mapambano ni jambo la kawaida sana. Mfano nchi nyingi za kusini mwa Afrika, wakati wa ukombozi watu wao wengi walikuwa hapa nchini, ni kwanini hawakubaki huko huko kwao ili wafanye hayo mapambano wakiwa humo humo ndani? Kabila Baba alimkimbia dictator Mobutu kisha akaja Tanzania, na alirejea Zaire kuikomboa. Mbona hakubaki huko huko ili kuendeleza mapambano?
Nawe una shida!Ulitaka hadi wamuue kama Ben saanane ndiyo msikie raha. Kakwepa huo mtege wenu
Tundu Lissu alipigwa risasi akiwa mbunge na impact yake imeonekana ulimwenguni, Uwezekano wa kupigwa risasi na watawala na kufa akitoka kugombea urais wa Nchi kwa chama kikubwa cha upinzani ilikuwa ni 0.00%.Je wewe unaweza kuweka rehani uhai wako kwa mara pili baada ya mara ya kwanza kuchungulia kaburi?
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.