Siro alishasema anawafungulia kesi za uhaini kwani anaushahidi kwamba walipanga kulipua vituo vya mafuta. Tena hawa viongozi wetu walivyokosa busara wanamhiji shahidi mubashara katika media. Nchi hii wajinga wanawatawala wenye busara.Tanzania ni salama kwa kila mtu Lissu akiwemo. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.
Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.
Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.
Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Unajionyesha ulivyo mbumbumbu kwa kutojua utaratibu wa kidiplomasia. Nenda kasome kisa cha Snowden. USA na ubabe wake alishindwa kwenda kuvamia ubalozi ili kumchukua mhalifu.Mbwembwe zote za kijani,na mambo sasa,na wasiojurikana,wangethubutu kusimamisha magari ya ubalozi,waone,
Kila siku tunawaambia,Hawa wakuu wakiamua kitu,huyo jiwe atajinyea tu,
Message is very simpo..
" Jaribu kutubloku njiani tukuonyeshe huo upara utavyoota nywele mamaae..."..
Huyoo Mwanaume kapaa salama salmini.
Hao ndio MABEBERU..
Leta fyoko uone.!!
He he heee..Sasa mabalozi wa Tanzania, Burundi, na Uganda, nao wamsindikize Donald Trump kuja Tanzania. [emoji1787]
Comment hii ingetolewa na Magufuli mwenyewe badala ya kilaza wa humu JF ingeeleweka zaidi maana hata Rais wa nchi hasindikizwi na Balozi hata mmoja anayemwakilisha Rais wa nchi nyingine. Hawa watatu, kama Watanzania wengi wangejua anaondoka wangemsindikiza, wamefanya hivyo kwa upendo tu kwa mtu ambaye bila wizi wa kura angekuwa Rais.Hakuna ujumbe Wowote wa maana umetumwa hao wote waliomsindikiza Lissu ni mashoga wenzake
Angalia tu asije akawa mkimbiziNITAJIKOPESHA NA KUMUWEZESHA KILA NIWEZALO KIJANA WANGU ASOME SHERIA. NAMUONA ANA AKILI KAMA ZA LISU
Uko sahihi wale wanaodhani LIssu ni shujaa kwa kukimbilia ubalozi, wamkumbuke Julian Assange akiwa ubalozi wa Ecuado kwa miaka mingi tu!Hata wewe ukikimbilia ubalozi unalindwa na sheria za kimataifa. Lakini usifikiri kwamba wewe ni wa maana sana ukisindikizwa na hao wazungu. Wamaana ni watanzania wenzako.
Kwa hiyo naye hawezi fizikia, hesabu, kemia na mengine tunayojua ni masomo ya maana?NITAJIKOPESHA NA KUMUWEZESHA KILA NIWEZALO KIJANA WANGU ASOME SHERIA. NAMUONA ANA AKILI KAMA ZA LISU
Lisu ni debe tupu. Nafikiri sasa unajione udebe tupu wa Lisu
UKOMBOZi unafanywa kwa maandamano pekee?!Ninyi msio makondoo mliambiwa muandamane 'hadi kieleweke' mliishia wapi? Ahahahahahahahahahaja!!!
Kama mandamano yalishindwa! Amini na hili litashindwa, sjui matamanio yako utahamishia wapi!Kwa Lissu kuondoka, Ccm na serikali mji pange. Kuna radi ina kuja. Tatizo la viongizi na washabiki wa Ccm wana ona mwusho wa pua zao.
Sipajui mkuu.Ubeleji ndio wapi MKUU....
Mkuu swali gani unaniuliza? Hilo swali waulize walioitisha maadamano sio mimi. Au ndio maana hukuandamana sio?UKOMBOZi unafanywa kwa maandamano pekee?!
Anafikiri akiwa mwanasheria ndiyo ana akili sana!!!! Kwanza Lissu siyo msomi mzuri wa sheria bali ni Mwanaharakati kama wakina Fatuma Karume ambao hawaachi kujikweza kuwa wanajua sana wakati ni maneno ndiyo mengiii.Kwa hiyo naye hawezi fizikia, hesabu, kemia na mengine tunayojua ni masomo ya maana?