Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Ahahahahahahaj! Kwa kauli yako hii, Lissu ana haki ya kurudi Ubeleji. Ashaona hapa ana white elephant followers kama wewe! Ahahahahahahah! Eti mliogopa kuandamana mtapigwa risasi. Mlitaka mpewe chocolate? Ahahahahahahah!

Hata madictator Hosni Mubaraka, Mugabe, Elbashir walikuwa na nguvu na watu hawakuandamana miaka yao ya mwanzo, ila woga ulipowaisha wengi kilieleweka. Usishangilie bado mechi ni mapema hii.
 
Tulia wewe game haijafika ukingoni.
Mandela aliipigania SA for 27 years tena akiwa kifungoni sembuse TL.?
Time will tell.
Usilinganishe mandera na upuuzi...aende akale french fries huko ubelgiji...akija tena tunachinja zaidi kwenye box la kura...
 
Nimecheka kwa nguvu kinoma, eti mlisema sio Lowasa, kwani wako sawa sasa? Lisu katoka ulaya kaja kafanya kampeni zenye hamasa ya nguvu. Kisha kamaliza huku akitishiwa, katumia sheria za kimataifa kuondoka mchana kweupe. Lowassa yeye alienda kujisalimisha asifungwe wala kuporwa mali zake.

Kukimbia kwa madictator ni mbinu ya mapambano, Kabila baba alimkimbia dictator Mobutu na alirejea kuikomboa DRC, Museveni alikimbia Uganda akaja Tz, lakini alirudi kumn'goa Gen Tito Okelo. List ni ndefu. Jiwe anajiona ni imara, lakini lini umemuona anazunguka mitaani akiwa mwenyewe, ili tuamini yeye ni imara kwa huu muktadha wako?
Lisu ni debe tupu. Nafikiri sasa unajione udebe tupu wa Lisu
 
Basi endelea kumkubalia mtandaoni na inakubalika. Lakini Watanzania hawapo tayari kuwaingiza Ikulu watu kama Lissu wasio na mwelekeo. Wewe ukiwa na shida ya Lissu kuwa Rais basi mshauri aanzishe LGBT club na awe rais! Ahahahahahahah!

Tanzania huhitaji kura kukaa madarakani, unahitaji nguvu ya dola tu.
 
Hata madictator Hosni Mubaraka, Mugabe, Elbashir walikuwa na nguvu na watu hawakuandamana miaka yao ya mwanzo, ila woga ulipowaisha wengi kilieleweka. Usishangilie bado mechi ni mapema hii.
Toa mifano uwezavyo, lakini Rais Magufuli atakuwa Rais wa Tanzania hadi 2025 atakapokabidhi kijiti kwa kada mwingine wa CCM. Tuliwaambia haya kabla ya uchaguzi na tunayasema tena baada ya uchaguzi. Pia tutayasema tena 2025.
 
Nani kasema hawakutaarifiwa? Walitaarifiwa na nasikia diktekta uchwara alionywa ole wako ulete fyoko! Ikabidi awe mpole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo Lisu kaondoka kwa kuogopa nini sasa?
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Mtu bwege hata akipewa kamba, atachagua tawi bovu la kujinyonga.
 
Back
Top Bottom