CHALAMILA ni mshamba sana. Asiye na akiliJamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI
Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,
Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji mbovu na ukosefu wa huduma mhimu stendi kuu.
HOJA MHIMU ni lini mabasi yalikuwa kero kusogeza huduma kwa wananchi?
Je, kama Wamiliki wa mabasi watakapoamua kuitafsiri kuwa hii fukuza fukuza mabasi mtaani ni hujuma dhidi ya SGR Ipate wateja WATAKUWA WAMEKOSEA?
Je, hatuoni tunahatarisha SGR nayo kuhujumiwa kama wenye mabasi wakiamua kujibu?
WENYE MABASI ni wafanya biashara, Wanamikopo bank wanadaiwa marejesho;
Wenye mabasi wamewekeza Brand na ujenzi wa ofisi zao kwa gharama kubwa zaidi bilioni za fedha ili kuweka mazingira rafiki kwa abiria kupumzika wakijiandaa na safari LEO ghafla unawaambia ONDOKENI pekekeni magari stendi hivi mnajua maumivu ya kuwekeza?
Mnataka abiria warudi kwenye gombea gombea stendi ili kulinda Vizimba na mapato ya stendi huku mkipuuza utu na staha za wananchi?
Mnataka mkafungie mabasi yote stendi ili muanze kuyaruhusu kutoka kwa muda maalum jamani zama zimebadilika, kwanini hamtaki kubadilika?
AU ILE KAULI YA MSAFIRI KAFIRI ndiyo bado inawatawala vichwani?
MNATAKA ABIRIA anaetoka/kwenda mkoani kwa gharama ya nauli ya 60k, Then Akishuka maghufuli, Alake wapi kama ni gesti hiyo gharama anapata wap, au kwenda kwake akodi bajaji 50k Au pengine
kupoteza mali zake kwa kuibiwa stend, ACHILIA MBALI Kero na usumbufu wa wakata tiketi, wabeba mizigo n.k
Mnataka abiria wakimbie kero hizo wakapande sgr, Je wenye mabasi mikopo watalipaje?
Yote 9 kwanza kwanini kujiamulia mambo ambayo si kero ndiyo mnayafanya kero?
Biashara ya mwendokas imewashinda na abiria wapo kibao.
MNAKAA KIKAO KUZUIA WAFANYA BIASHARA WATAOTAFTA ABIRIA MTAANI MBAONA NI SAWA?
VIONGOZI kwa hili mnazingua sana mnatia hasira sana kwetu wananchi tunatamani japo tungetembeza makonzi vichwani mwenu lakini tunawaheshimu na kuwaomba Msijifikilie ninyi tupunguzieni kero na sisi wananchi.
Ninyi huko barabarani hata kukaa foleni tu hamuwezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?
TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
NaniMilishawapigia kura kwa sasa wanawaona nyani tu
CJui kwannMbaya zaidi mamlaka ndio zinafanya huu ubadhilifu tena laiv laiv
Akili za kikoloni wanawazavipato tuWatu tunaishi chanika,tunaelekea Kilimanjaro,tilisho ndiyo mkombozi wetu,tunapandia g/mboto kwa amani,
LENGO LA SEREKALI NI KUMSAIDIA MWANANCHI HUYU.
Kwahiyo basi ikenda maguful ndo kuzuia mirungi, kwani lazima mirungi ipakiliwe pale au kushishiwa pale? KamaWewe jamaa akili mbovu sn,,kwahyo mtu ukimwambia ukajisaidie chooni uache kujisaidia hadharani ni hujuma?..
Hujuma ni kuendelea kutumia mitaa kama stand,
Badala ya kwenda main bus terminal (Magufuli).
-serikali inashindwa kuthibiti na kucontrol uhalifu mbali mbali mfano mirungi nk kama stand zitakuwa nje ya Magufuli..
Kwni huko mitaani wamiliki wanaficha nn?
Wanafanya monitor ya hali ya juu.Kwahiyo basi ikenda maguful ndo kuzuia mirungi, kwani lazima mirungi ipakiliwe pale au kushishiwa pale? Kama
Kufanya mitaa kuwa ni stand za mabasi sasa mnataka kuwa kama bodaboda....Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI
Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,
Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji mbovu na ukosefu wa huduma mhimu stendi kuu.
HOJA MHIMU ni lini mabasi yalikuwa kero kusogeza huduma kwa wananchi?
Je, kama Wamiliki wa mabasi watakapoamua kuitafsiri kuwa hii fukuza fukuza mabasi mtaani ni hujuma dhidi ya SGR Ipate wateja WATAKUWA WAMEKOSEA?
Je, hatuoni tunahatarisha SGR nayo kuhujumiwa kama wenye mabasi wakiamua kujibu?
WENYE MABASI ni wafanya biashara, Wanamikopo bank wanadaiwa marejesho;
Wenye mabasi wamewekeza Brand na ujenzi wa ofisi zao kwa gharama kubwa zaidi bilioni za fedha ili kuweka mazingira rafiki kwa abiria kupumzika wakijiandaa na safari LEO ghafla unawaambia ONDOKENI pekekeni magari stendi hivi mnajua maumivu ya kuwekeza?
Mnataka abiria warudi kwenye gombea gombea stendi ili kulinda Vizimba na mapato ya stendi huku mkipuuza utu na staha za wananchi?
Mnataka mkafungie mabasi yote stendi ili muanze kuyaruhusu kutoka kwa muda maalum jamani zama zimebadilika, kwanini hamtaki kubadilika?
AU ILE KAULI YA MSAFIRI KAFIRI ndiyo bado inawatawala vichwani?
MNATAKA ABIRIA anaetoka/kwenda mkoani kwa gharama ya nauli ya 60k, Then Akishuka maghufuli, Alake wapi kama ni gesti hiyo gharama anapata wap, au kwenda kwake akodi bajaji 50k Au pengine
kupoteza mali zake kwa kuibiwa stend, ACHILIA MBALI Kero na usumbufu wa wakata tiketi, wabeba mizigo n.k
Mnataka abiria wakimbie kero hizo wakapande sgr, Je wenye mabasi mikopo watalipaje?
Yote 9 kwanza kwanini kujiamulia mambo ambayo si kero ndiyo mnayafanya kero?
Biashara ya mwendokas imewashinda na abiria wapo kibao.
MNAKAA KIKAO KUZUIA WAFANYA BIASHARA WATAOTAFTA ABIRIA MTAANI MBAONA NI SAWA?
VIONGOZI kwa hili mnazingua sana mnatia hasira sana kwetu wananchi tunatamani japo tungetembeza makonzi vichwani mwenu lakini tunawaheshimu na kuwaomba Msijifikilie ninyi tupunguzieni kero na sisi wananchi.
Ninyi huko barabarani hata kukaa foleni tu hamuwezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?
TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
SGR? Kwamba abiria wote nchi hii wanaenda Dodoma? Huna hoja, wakati hiyo stand inajengwa kwa mabilioni hao TABOA walikuwa hawaoni? Nchi hii ina uongozi wasikilizeni, tunajua matajiri hawapendi kuongozwa wangetamani kusiwe hata na serikali, hivyo viofisi vyenu ni uchafu mitaaniJamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI
Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,
Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji mbovu na ukosefu wa huduma mhimu stendi kuu.
HOJA MHIMU ni lini mabasi yalikuwa kero kusogeza huduma kwa wananchi?
Je, kama Wamiliki wa mabasi watakapoamua kuitafsiri kuwa hii fukuza fukuza mabasi mtaani ni hujuma dhidi ya SGR Ipate wateja WATAKUWA WAMEKOSEA?
Je, hatuoni tunahatarisha SGR nayo kuhujumiwa kama wenye mabasi wakiamua kujibu?
WENYE MABASI ni wafanya biashara, Wanamikopo bank wanadaiwa marejesho;
Wenye mabasi wamewekeza Brand na ujenzi wa ofisi zao kwa gharama kubwa zaidi bilioni za fedha ili kuweka mazingira rafiki kwa abiria kupumzika wakijiandaa na safari LEO ghafla unawaambia ONDOKENI pekekeni magari stendi hivi mnajua maumivu ya kuwekeza?
Mnataka abiria warudi kwenye gombea gombea stendi ili kulinda Vizimba na mapato ya stendi huku mkipuuza utu na staha za wananchi?
Mnataka mkafungie mabasi yote stendi ili muanze kuyaruhusu kutoka kwa muda maalum jamani zama zimebadilika, kwanini hamtaki kubadilika?
AU ILE KAULI YA MSAFIRI KAFIRI ndiyo bado inawatawala vichwani?
MNATAKA ABIRIA anaetoka/kwenda mkoani kwa gharama ya nauli ya 60k, Then Akishuka maghufuli, Alake wapi kama ni gesti hiyo gharama anapata wap, au kwenda kwake akodi bajaji 50k Au pengine
kupoteza mali zake kwa kuibiwa stend, ACHILIA MBALI Kero na usumbufu wa wakata tiketi, wabeba mizigo n.k
Mnataka abiria wakimbie kero hizo wakapande sgr, Je wenye mabasi mikopo watalipaje?
Yote 9 kwanza kwanini kujiamulia mambo ambayo si kero ndiyo mnayafanya kero?
Biashara ya mwendokas imewashinda na abiria wapo kibao.
MNAKAA KIKAO KUZUIA WAFANYA BIASHARA WATAOTAFTA ABIRIA MTAANI MBAONA NI SAWA?
VIONGOZI kwa hili mnazingua sana mnatia hasira sana kwetu wananchi tunatamani japo tungetembeza makonzi vichwani mwenu lakini tunawaheshimu na kuwaomba Msijifikilie ninyi tupunguzieni kero na sisi wananchi.
Ninyi huko barabarani hata kukaa foleni tu hamuwezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?
TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
We taahira lini ulimiliki akili? Mshamba wa kikurya weweCHALAMILA ni mshamba sana. Asiye na akili
Na wewe unalalamika! Nilifikiri wanaolalamika siku zote ni CHADEMA!Watu tunaishi chanika,tunaelekea Kilimanjaro,tilisho ndiyo mkombozi wetu,tunapandia g/mboto kwa amani,