Jengeni hoja kwa serikali kuongeza idadi ya stendi kulingana na mgawanyo wa maeneo na watu jijini! Kuna watu wametoa mapendekezo ya kujengwa kwa stendi nyingine maeneo ya Kigamboni, sijui Chanika, nk. Walau hawa wana hoja. Au iboreshe miundombinu ya barabara ili abiria wafike stendi kwa urahisi.Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayoezi mnapita na ving'ola ila sisi kutwa kutuongezea usumbufu ni haki kweli?
TABOA GOMENI HII NI HUJUMA, Mkirudi MAGUFULI si Kwanza kuna uchawi mkubwa sana stend ya Magufuli HAPAFAI MTAFILISIKA.
Kwa hiyo ulinzi wa Polisi ni Mbezi tu sio Manzese aisee Tanzania yote inalindwa hiyo ukitaka kujua hizo kazi ni ngumu waulize wabebaji unaongea kama vile ni biashara ya mahindi..Wanafanya monitor ya hali ya juu.
Zamani wakati mabus yapo ubungo terminal,
Ilikuwa ni kawaida kwa Police kuvamia pale kabla ya mabus kuondoka na kufanya uchunguzi kuanzia abiria na bus lenyewe.
Leo huko manzese atakukaguwa na nani?
Nani anajuwa umebeba nn au unashusha nn?
Mmiliki kazi yko ni kupeleka gari stand terminal kupakia na kushusha,
Kwnn unalalamika?
Unafaida gani kwa ofisi kuwa mitaani?
Serikali inakosaje Mapato bus moja lina kodi kama ndege hii kauli huwa inanishangaza sana...Jengeni hoja kwa serikali kuongeza idadi ya stendi kulingana na mgawanyo wa maeneo na watu jijini! Kuna watu wametoa mapendekezo ya kujengwa kwa stendi nyingine maeneo ya Kigamboni, sijui Chanika, nk. Walau hawa wana hoja. Au iboreshe miundombinu ya barabara ili abiria wafike stendi kwa urahisi.
Lakini hili jambo la kuruhusu kila kampuni ya mabasi kuwa na stendi yake mtaani, limekaa kibinafsi sana! Na lina kila dalili za kuikosesha serikali mapato. Pia linaweza kusababisha msongamano usio wa lazima wa magari katikati ya mji.
Hawajapigiwa kura.Milishawapigia kura kwa sasa wanawaona nyani tu
Kwanini wasijenge kwanza hizo stand ndogo kila wilaya, tujenge hoja kama wameshindwa si wajiuzuruJengeni hoja kwa serikali kuongeza idadi ya stendi kulingana na mgawanyo wa maeneo na watu jijini! Kuna watu wametoa mapendekezo ya kujengwa kwa stendi nyingine maeneo ya Kigamboni, sijui Chanika, nk. Walau hawa wana hoja. Au iboreshe miundombinu ya barabara ili abiria wafike stendi kwa urahisi.
Lakini hili jambo la kuruhusu kila kampuni ya mabasi kuwa na stendi yake mtaani, limekaa kibinafsi sana! Na lina kila dalili za kuikosesha serikali mapato. Pia linaweza kusababisha msongamano usio wa lazima wa magari katikati ya mji.
Tuna machawa wasiojali kabisaSerikali inakosaje Mapato bus moja lina kodi kama ndege hii kauli huwa inanishangaza sana...
Kibongo bongo ukimiliki gari unaheuka kuwa ng'ombe wa maziwa. Serikali yako huwa inaoenda kupata kodi kwa njia ya mserereko.Serikali inakosaje Mapato bus moja lina kodi kama ndege hii kauli huwa inanishangaza sana...
Shangaa kabisa, gari linalipa vibari kibao halafu wanataka kwenda kulifungia magufuli ili wapate wao pasipokujali maisha ya wengineKibongo bongo ukimiliki gari unaheuka kuwa ng'ombe wa maziwa. Serikali yako huwa inaoenda kupata kodi kwa njia ya mserereko.
Kwenye sekta nyingine huko mfano madini, Wachina wanajibebea tu na kodi hawalipi! Ndiyo serikali yako hii. Ina watu wasiopenda kuumiza vichwa vyao.
Walipiga kwa niaba yenu. Zile 32mil zilitoka wapi?😅😅Hawajapigiwa kura.
Yaani kero sana mtu kawekeza Mabilion kuaandaa ofc halafu mtu anakuja ghafla tu kusema funga, hajawahi kumiliki hata gengeUwekezaji Tanzania ni bahati nasibu, unaamka asubuhi mipango yako ya miaka 10 imepigwa nyundo over night.
Hawana skills za biashara.Yaani kero sana mtu kawekeza Mabilion kuaandaa ofc halafu mtu anakuja ghafla tu kusema funga, hajawahi kumiliki hata genge