Kweli Bongo nyoso😂😂😂Kwa mujibu wa LATRA, watoa huduma hao wamekuwa wakitumia fursa ya kuanza safari mapema (Saa 9 Usiku hadi 11 Alfajiri) kwa kufanikisha malengo ya kufanya mashindano huku kukiwa na wanaobashiri Basi linalofika mapema wakipata ushindi kwenye Kamari.
Kwa hiyo wwe unataka mpaka ajali itokee ndiyo wazuwie mabus kwenda mbiyo!? Hujui kua kinga ni bora kuliko tiba!!??LATRA wamezingua sana. Cha muhimu ajali hazitokei sikuona sababu ya kukataza
Ally's ni mkongwe kwenye hii game,hawa chipukizi wanakuja na kutoweka ila mkongwe anaendelea kubakiUjio wa katarama unampa shida kubwa ally's ndiyo maana kila kukicha latra wamekuwa mstari wa mbele kumsaidia ally's na kipigo cha kuisoma namba....
Katarama ndiyo chaguo la watu wa mwanza inajulikana sasa iweje latra inawauma ?
Hujaja kwenye ligi ya Dar-Mbeya-Tunduma. Golden deer baba lao chuma saa 12 kasoro jioni inasoma stendi Uyole.Wanazi wamechangia sana ile mikeka imefanya madereva wakimbize sana hayo mabasi
Ila ligi yao tamu sana
Kwenye ligi la mabio wapo Happy Nation na Frester vipi wao hawajapigwa ban kuanza safari mida hiyo
Sababu ni wapumbavu , hawajui thamani ya maisha na viungo vya miili yao.Ila ukichungiza asilimia 98 ya abiria wanapenda mwendo mchibuyu fulu mambio ndio man hujasikia raia wamelalamika[emoji1787][emoji1787]
Golden deer ndiyo NEW FORCE zinatoka saa 9 usiku, saa 9. Kasoro zishapita uyoleHuyo Golden Deer anatoka Dar saa ngapi? New Force yupo kwenye ligi?
Ally's mbili ndio walikuwa wakwanzasaiv anawakimbiz kama leo kwend mwanz happy nd kawakalisha
Yanaendaje mbio wakati kuna vts zinafanya kazi, sema wangewazuia madereva kuacha kubeti pamoja na hao wanaziKwa hiyo wwe unataka mpaka ajali itokee ndiyo wazuwie mabus kwenda mbiyo!? Hujui kua kinga ni bora kuliko tiba!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Saibaba utafurahi mwenyewe.Tutajieni zinazoenda mwendo wa kobe mimi hizo za ligi hapana kwakweli
Kwa safari UA Sumbawanga ni timing nzuri kuwahi kufika badala ya kufika SAA 8 usiku.Golden deer ndiyo NEW FORCE zinatoka saa 9 usiku, saa 9. Kasoro zishapita uyole
Ilifika Bariadi SAA 9 ikitokea wapi?Juzi ahamisi Ally's hio ya Saa tisa ilifika Bariadi Mjini Saa 2 kasoro, hii ningeambiwa na mtu ningebisha nimeshuhudia mwenyewe.
Hata wewe una haki ya kubisha maana sio kitu cha kawaida.
Kwa inshu ile nikajisemea huyu hamalizi week.
Tatizo ni kuwa Tanzania kuna uzembe mwingi ,dereva mmoja hawezi kuendesha umbali huo wote pasipo kuchoka.Na wamiliki wa mabasi hawataki kuajili madereva 2 kwa kila basi.Kwa safari UA Sumbawanga ni timing nzuri kuwahi kufika badala ya kufika SAA 8 usiku.
Mbaya zaid huku anatoa ushuhuda huku kichwa teyari kimeungana na kisigino na ndio utasikia lawama anapata serikali na Mungu hapo!Ikitokea ajali, wao ndio wanakuwa wa kwanza kutoa ushuhuda kuwa, dereva alikuwa anaendesha mwendo wa kasi!
Unataka kunambia dereva mmoja anaendesha kutoka MWZ-DSM?Tatizo ni kuwa Tanzania kuna uzembe mwingi ,dereva mmoja hawezi kuendesha umbali huo wote pasipo kuchoka.Na wamiliki wa mabasi hawataki kuajili madereva 2 kwa kila basi.
Dar Mwanza hakuna madereva wawili kweli ?Tatizo ni kuwa Tanzania kuna uzembe mwingi ,dereva mmoja hawezi kuendesha umbali huo wote pasipo kuchoka.Na wamiliki wa mabasi hawataki kuajili madereva 2 kwa kila basi.
Aise useme hivyo. Nakukanya, usirudie, hayo magari hubeba roho za watu. Wewe hayajakukutaWanazingua kwan sie abiria tumelalamika