Labda kwa sababu katarama ni mbantu na ally's mwarabu...kwa io wabantu wanamsapoti ndugu yao.Hii ligi huwa inanishangaza kitu kimoja tu, hizo katarama ukikuta wanazi wanavozifia alafu kaangalie mikeka sasa utashangaa mwenyewe.
Yaani kwenye mikeka ni tofauti na wanavozisifia,
Mikeka ya mwezi mzima ally's ndo huwa inafungua geti mara nyingi kuliko gari zote ila sasa wanazi wakute wanasifia katarama!
Kuna jamaa anasema katarama anafika dodoma saa 3 asubui kama vile ni jambo la ajabu!! Wakati hao wote wanatoka saa 9 usiku dodoma wanapitaga wote saa 3
Hela yote itaishia kwenye mafuta na mishahara ya madeva na makondakta na service tajiri hatapata faidaTatizo ni kuwa Tanzania kuna uzembe mwingi ,dereva mmoja hawezi kuendesha umbali huo wote pasipo kuchoka.Na wamiliki wa mabasi hawataki kuajili madereva 2 kwa kila basi.
Zuberi na KisesaTutajieni zinazoenda mwendo wa kobe mimi hizo za ligi hapana kwakweli
Muda mwingine unakuta amepigwa tatu mzuka kabisa na gape la kutoshaHii ligi huwa inanishangaza kitu kimoja tu, hizo katarama ukikuta wanazi wanavozifia alafu kaangalie mikeka sasa utashangaa mwenyewe.
Yaani kwenye mikeka ni tofauti na wanavozisifia,
Mikeka ya mwezi mzima ally's ndo huwa inafungua geti mara nyingi kuliko gari zote ila sasa wanazi wakute wanasifia katarama!
Kuna jamaa anasema katarama anafika dodoma saa 3 asubui kama vile ni jambo la ajabu!! Wakati hao wote wanatoka saa 9 usiku dodoma wanapitaga wote saa 3
Hiyo itakuwa ya Morogoro. Upo shy sehemu gani weye?
No nilikuwa nasafiri pia natokea shy naenda mwanza nilipishana nayo kwa roadHiyo itakuwa ya Morogoro. Upo shy sehemu gani weye?
Ila anayechukua hizo gari ana uhakika wa kukaa nazo miaka mingi kwa ruti ndefu.Anayenunua Mchina tatu badala ya Polo moja ndiye mwenye akili ya biashara
Si umeona kampuni kongwe kama Abood na Shabiby wamehama kutoka Scania Marcopolo na Volvo sasa hivi ni mwendo wa Yutong
Mbona umekasirika sana na watumia nguvu kubishana?Allys ana gari nyingi sana na zilizofungiwa ni ebf 3 na dxs 3 bado kuna farsi weupe EBG, kuna EBU,DVA sasa huyo katarama ana gari tatu zote zimepigwa ban
Mwendo hatari wakati wanafata mwendo wa kisheria ambao ni 85 maxBora yamefungiwa maana mwendo wao ulikuwa ni wa hatari kuliko hatari yenyewe......huwa nashangaa nikiona watu wakifurahia mwendokasi na kuwekeana mpaka pesa kwa ajili ya mshindi....
Hawata weza kama ipo ipo tuUjio wa katarama unampa shida kubwa ally's ndiyo maana kila kukicha latra wamekuwa mstari wa mbele kumsaidia ally's na kipigo cha kuisoma namba....
Katarama ndiyo chaguo la watu wa mwanza inajulikana sasa iweje latra inawauma ?
unamzunguziaje Superfeo ambae ni mkongwe kwenye hii biashara na kaachana na mchina na kurudi Scania?Anayenunua Mchina tatu badala ya Polo moja ndiye mwenye akili ya biashara
Si umeona kampuni kongwe kama Abood na Shabiby wamehama kutoka Scania Marcopolo na Volvo sasa hivi ni mwendo wa Yutong
Kwani chanzo cha ajali huwa ni mwendo kasi tu au kuna sababu nyingine na kunaumuhimu gani wa gari kutengeneza speed ya 240, 180 au 360?Sababu ni wapumbavu , hawajui thamani ya maisha na viungo vya miili yao.
kaka upo nyuma ya mdaa.. saiz new force ya TDM inapita mbeya saa 11 kasoro yaan ukikaa high way saa 10;40 unaiona inapta ikifwatiwa na golden deer...Hujaja kwenye ligi ya Dar-Mbeya-Tunduma. Golden deer baba lao chuma saa 12 kasoro jioni inasoma stendi Uyole.
Wanazi wanazingua kupost hizo clips mitandaoni.
Yupi atarudisha pesa kwa haraka kati ya hao?Katarama moja unanunua Mchina tatu
lkn roho zikiondoka mnaanza kuilaumu tena serikari haipo makini.Wanazingua kwan sie abiria tumelalamika
Huwa wanabadilishana manyoniDar Mwanza hakuna madereva wawili kweli ?
mbadilishano ikiwa Dom
Zuberi ndio kisesa, kiongoziZuberi na Kisesa
Kuna Ally's za Morogoro ujueNo nilikuwa nasafiri pia natokea shy naenda mwanza nilipishana nayo kwa road
ulishawahi wahoji madereva wakakuambia wanachokaTatizo ni kuwa Tanzania kuna uzembe mwingi ,dereva mmoja hawezi kuendesha umbali huo wote pasipo kuchoka.Na wamiliki wa mabasi hawataki kuajili madereva 2 kwa kila basi.