Ndio maana nikasema inabidi kwenye bus wafanye kubalance, nusu ya safari TV isiwashwe/izimwe halafu nusu ya pili ya safari ndio TV iwashwe.Sema mkuu watu tunatofautiana sana wengine wanapenda sana hii Hali.
Mabasi ya mkoani ukipanda tu Tyr unakuta tamthiliya ya mkojani ama yule jamaa madebe mwanzo mwisho.
Binafisi Kwa ulimwengu wa Sasa Tv hazina nafasi Tena simu zetu zinatosha kutupa furaha uipendayo mchawi bando tu
Wengi wape,wengi hupendelea burudani hizo na imezoeleka na ni kama utamaduni.Kwenye bus wapo pia ambao hawapendi TV au hiyo TV ndio inawapa stress.
Gharama za Tv waweke wifi Haina maana kabisa kupigizana kelele wengine hatupendi maigizo Wala movie za kuuanaNdio maana nikasema inabidi kwenye bus wafanye kubalance, nusu ya safari TV isiwashwe/izimwe halafu nusu ya pili ya safari ndio TV iwashwe.
Na wale tunao shukia njian ?Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu.
Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za Vigour Doctor, sabuni na mafuta ya ukwaju na dakika 10 tu za kuchimba dawa.
Kwenye safari inabidi nusu ya safari hasa safari inapoanza TV izimwe halafu nusu ya pili ya safari ndio TV iwashwe, kama bus linasafiri masaa 12, masaa 6 TV isiwashwe.
Mkuu kweni huko Uingereza Mabasi hayana Runinga?!Natamani mmiliki mmoja wa mabasi akapiga marufuku mabasi yake kuwa na makelele kabisa yaani kimya kama Ulaya
Nunua bus lako weka hiyo sheria mbona simple tu mkuu🤣🤣Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu.
Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za Vigour Doctor, sabuni na mafuta ya ukwaju na dakika 10 tu za kuchimba dawa.
Kwenye safari inabidi nusu ya safari hasa safari inapoanza TV izimwe halafu nusu ya pili ya safari ndio TV iwashwe, kama bus linasafiri masaa 12, masaa 6 TV isiwashwe.
Huo ni utetezi wa kipuuzi tu, safari ya zaidi ya masaa nane madereva wanatakiwa wawe wawili wanapokezana.Hasahasa kwenye safari hizi za usiku,ni
Kero mziki mkubwa usiku mzima. Wenyewe wanasema wanafanya hivo ili dereva asilale. Mikelele wakati wotee