Kunguni wanaletwa na abiriaa mwenyewe especially wanafunzi
Wakishaletwa kesi kwa wenye basi hali kunguni wako nguoni na mizigoni mwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunguni wanaletwa na abiriaa mwenyewe especially wanafunzi
Wanaenda kwaooWakishaletwa kesi kwa wenye basi hali kunguni wako nguoni na mizigoni mwao.
Unalala mkuu mara kibao nimekuwa nikianza safari saa12 asbh nafika saa4-6 usiku dar lkn Huwa siaangalii tofauti na kusikia kelele tu Nikichoka simu nalalaKwny safari ndegu hata hiyo simu utaichoka...lbd uweke Hollywood Movies
Filamu za kina mkojani au bongo movies mbona bado poor sana tu, mimi huwa nahisi kelele tu za kuumiza kichwa.
TV zingeondolewa tu kwenye mabasi ingekuwa jambo bora zaidi mkuu,Tatizo tulilonalo, ni sisi abiria kuwa na misongo ya mawazo inayopelekea kusikia kitu chochote kile kinakuwa ni kero kwetu.
Cha kufanya, ni sisi abiria/watu tujitahidi kupunguza misongo ya mawazo, tukiamini maisha ya binadamu ni kuwa na uhakika wa kula, kuvaa, na kulala basi; hayo mengine tusiyafikirie sana.
Hii itapelekea wengi kuwa na nyuso za furaha
TV zingeondolewa tu kwenye mabasi ingekuwa jambo bora zaidi mkuu,
Kama mtu anataka muziki au movies asubirie aangalie kwake,
Usitupangie,,, panda gari lako,, sisi wa mikoani tunaona sawa kwa sababu safari zetu ni masaa 20+,,, kwa hiyo hata tukiona, na ule uchovu wa safari lazima ndani ya gari tutalala kwenye ule muda ambao mimi nimechokaNdio maana nikasema inabidi kwenye bus wafanye kubalance, nusu ya safari TV isiwashwe/izimwe halafu nusu ya pili ya safari ndio TV iwashwe.