Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

Usafiri wa bus ya mikoani ni wa kimasikini sanaa ni kero kwa mtu diplomant au corporate, kelele ni nyingi ku simama sima bila maelezo kuambwa tiketi mara kwa mara wakati mgine imesonzia unaamshwa ghafra, sijui nani kawambia kwamba kuangalia TV au video ndo burudani tu,
 
Kweli.
Kwanza waachane nazo kabisa.

Sisi tumekuja kusafiri. Si kutazama muziki wala movies. Hivyo vyote tunavyo nyumbani.
Mtu wa kusafiri safiri kila wiki atakuwa anaboreka kiasi kgani kusikiliza nyimbo hizo hizo na movie hizo hizo kila anaposafiri na hilo basi lenu?
 
Kwny safari ndegu hata hiyo simu utaichoka...lbd uweke Hollywood Movies
 
Anunue mabasi yakee aweke hiyo sheria aone kama atapata wateja hahaha
Wateja wapo ni ulimbukeni tu ndio tatizo, bus hadi zenye kunguni na mende zinapata wateja ndio itakuwa bus zuri lenye muda maalum wa kupumzisha TV
 
Sisi huku mtu ukikaa naye siti moja mnakuwa kama marafiki wa siku nyingi unaweza ukashangaa kanunua vipande vya Mafenesi anakugawia kama huko Usukumani unakuta Basi zima linakula Miwa na Dereva naye anagaiwa kipande ili awawahishe muendako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na hakuna raha kama kukaa na jinsia Me, wengi wao wanajua kujali balaa, unamuomba umuegemee au umuwekee miguu na hawakatai maskiini..!!

tunawapenda sana wanaume wetu..!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na hakuna raha kama kukaa na jinsia Me, wengi wao wanajua kujali balaa, unamuomba umuegemee au umuwekee miguu na hawakatai maskiini..!!

tunawapenda sana wanaume wetu..!
Nilisha mpisha mdada mzuri aje akae, mara akaja mama mtu mzima ,yule dada akaenda kukaa na mwamba mwingine, huku akiniangalia kwa tabasamu, yani nilinuna safari nzima yule mama akinipigisha stories namjibu kwa kifupi na kwa hasira😁😁😁😁😁😁
 
Bila kusahau matumizi ya AC
 
Huyo mama hakuwa hata lishangazi ujipatie chochote kitu?
 
Hiyo mbaya sana mkuu ulijikuta jentromanii mwenyewe 🀣🀣🀣🀣 halafu kikaumana aiseee
 
Watu wanaangalia sio biashara ila wanawezaje kuwa bora katika biashara yaooo

Mkuu kuongelea kunguni kwenye bus ni moja ya hoja dhoofu sana.

Kwani kunguni wanaletwa na nani humo?

Hivyo vyuma si vinanunuliwa vipya?
 
Sisi huku mtu ukikaa naye siti moja mnakuwa kama marafiki wa siku nyingi unaweza ukashangaa kanunua vipande vya Mafenesi anakugawia kama huko Usukumani unakuta Basi zima linakula Miwa na Dereva naye anagaiwa kipande ili awawahishe muendako.
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„
Wajanja wakawawekea madawa ya kulevya wakabeba kila kitu
Ila Wasukuma wakarimu sana kwa kweli
 
Mkuu kuongelea kunguni kwenye bus ni moja ya hoja dhoofu sana.

Kwani kunguni wanaletwa na nani humo?

Hivyo vyuma si vinanunuliwa vipya?
Kunguni wanaletwa na abiriaa mwenyewe especially wanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…