johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mingi au michache bwashee?!Miezi mitatu? Mmhh nanusa harufu ya kitu hapa
Hatua nzuri hiyo. Nakumbuka miaka ya 70 Waziri Mkuu Sokoine aliruhusu kitu kama hicho. Mabasi ya mashirika ya umma na ya serikali (SU na ST) yalikuwa yakimaliza kupeleka wafanyakazi wa taasisi husika yanafanya kazi ya daladala kwa masaa kadhaa. Huu ni utumiaji mzuri wa mali ya umma.Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa.
Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi uliosababishwa na utaratibu mpya wa level seat.
Source Eatv habari!
Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu
Kwai coaster zilikatazwa? Mbona leonimepanda coaster ya posta?Tunashukuru sana serikali kwa kuruhusu magari ya wanafunzi. Lakin bado tunaomba sana sana waruhusu coast na noa na magari ya watu binafsi yabebe watu. Shida ni kubwa sana. Watu wanakaa kituon mda mref sana na wengingine wanapigania na kusababisha mgusano mkubwa sana. Serikalo iliangalie hili. Kuna coast nyingi zimepak tu.zinasubir kukodiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Zitumoke wakati huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kuuliza ndugu yangu. Wewe ni KE yaani umeolewa na mchaga ama ni ME umemuoa mchaga? Maana naona kama unapagazwa nao sana kuliko kawaida.Mingi au michache bwashee?!
Makarandinga yenyewe huwa yako bize hasa katika awamu hii na huwa yamejaa wapinzani wakipelekwa eidha mahakamani au magerezaniWaruhusu na yake ya polisi na mahakama.
Hiyo miezi mitatu ni maximum......kama shule zikifunguliwa lmmiliki ana hiyari ya kubeba wanafunzi na abiria kwa nyakati tofauti !Samahani kuuliza ndugu yangu. Wewe ni KE yaani umeolewa na mchaga ama ni ME umemuoa mchaga? Maana naona kama unapagazwa nao sana kuliko kawaida.
Hoja yake umeilewa au mahaba yako ya kuandika "bwashee" yamekupofusha hadi umeshindwa kuiona hoja yake?
nguvu anachoshangazwa nacho kama ugonjwa si mkubwa kiasi hico ni kwa nini kibali kitolewe kwa miezi mitatu kama vile ni jambo la kuendelea wakati tuliambiwa ni kwa mweiz mmoja tu?
Au Karantini bubu inaendelea mpaka mwezi wa saba?
Hayo yattawabeba wazururaji!Waruhusu na yake ya polisi na mahakama.
Kwa lugha nyingine shule zitafungwa miezi mitatuMiezi mitatu? Mmhh nanusa harufu ya kitu hapa
Hiyo miezi mitatu shule zitakuwa bado zimefungwa?Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa.
Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi uliosababishwa na utaratibu mpya wa level seat.
Source Eatv habari!
Mkuu nmenyoosha mikono kwa leo!Hayo yattawabeba wazururaji!
Wabongo kwa kutaka dezo!!Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu