Mabeki tatu na simu ni majanga

Mabeki tatu na simu ni majanga

Cha kukushauri kwenye sim yake iset Call Waiting ili ukimpigia walau ashtuke kuwa Boss anapiga sim.
 
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
Na sim ulimnunulia wewe? Me ataondoka aise!
 
Kwanza wanakuja wakiwa wadogo na hawana qualifications zozote za kazi yaani hawakuzisomea na huenda hawakulea watoto
Sasa mtoto anapewa majukumu mengi na hata mapummziko hakuna
Wengi wanakuwa abused na wanaume (lipo)
Inabidi wasaidiwe na wafundishwe hatari zote zinazowakabili kutoka kwa vijana na athari zake kama maradhi na mimba za utotoni
Muishi nao kama wana wenu na kujua mienendo yao pia
Kuwapa simu hiyo ni changamoto kwao pia kwani watoe namba au wasitoe vijana wataipata tu wakitaka
Wasaidieni kama watoto wenu tu
Ila mkiwanyanyasa hapo ndio kila unachomwachia anunue atakula yeye na ukimpiga ndio kabisaa atamlisha mavi mwanao
Asilimia kubwa ya hawa watu hata kama awe mkubwa na unaishi naye kama ndugu au mwanao huwa wanaroho na akili za ajabu ajabu.
 
Kuna mmoja nipo nae hapo home kuna siku nilimfanyia small investigation nikakutana huwa anawasiliana na wanaume zaidi ya 10 kwa siku mmoja na ana marafiki zaidi ya 35 wanaume tuuh na hao sio ndugu zake wala nini.... nilichoka
Mmoja nilimfuatilia mawasiliano yake baada ya kugundua kuna kijana anakujaga nyumbani mida watoto wameenda shule, huyo Dogo alikuwa anasoma Chuo flani hapa Dar tukitoka nae anakuja kupiga msosi, nikaamua kumtegea mtego dogo siku amekuja nikamkamata, kilichomtokea anakijua mwenyewe maana alishahama mji alirudi kwao morogoro.
 
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu

Pole Jirani
 
Mpaka kufikia hii page ya tatu naona kuna umuhimu wa kuanza kumtafuna beki tatu wa SISITA maana naona na yeye licha ya kutokuwa na simu ila Dada analalamika kwamba hatulii, hivyo wacha nianze kumpigia misele
 
Wengi wamezunguuka ila nadhni hili ndo jibu..Tatizo tunawachukulia kama watumwa badala ya watoto wetu..yaani akishakuja basi mama mwe nyumba hataki fanya loloye hili ndo tatizo kubwa na sababu ya kua abusedhuwa wanatafuta njia ya kujiliwaza na kwakua bado wadogo basi hata kulaghaiwa inakua rahisi
Kwanza wanakuja wakiwa wadogo na hawana qualifications zozote za kazi yaani hawakuzisomea na huenda hawakulea watoto
Sasa mtoto anapewa majukumu mengi na hata mapummziko hakuna
Wengi wanakuwa abused na wanaume (lipo)
Inabidi wasaidiwe na wafundishwe hatari zote zinazowakabili kutoka kwa vijana na athari zake kama maradhi na mimba za utotoni
Muishi nao kama wana wenu na kujua mienendo yao pia
Kuwapa simu hiyo ni changamoto kwao pia kwani watoe namba au wasitoe vijana wataipata tu wakitaka
Wasaidieni kama watoto wenu tu
Ila mkiwanyanyasa hapo ndio kila unachomwachia anunue atakula yeye na ukimpiga ndio kabisaa atamlisha mavi mwanao
 
Wengi wamezunguuka ila nadhni hili ndo jibu..Tatizo tunawachukulia kama watumwa badala ya watoto wetu..yaani akishakuja basi mama mwe nyumba hataki fanya loloye hili ndo tatizo kubwa na sababu ya kua abusedhuwa wanatafuta njia ya kujiliwaza na kwakua bado wadogo basi hata kulaghaiwa inakua rahisi
Umenielewa vizuri mkuu
Asante
Wengine wanawatuma mpaka taulo ya mzee wakati wao wameshika remote
Wanataka kila kitu mtoto wa kazi afanye kutwa kuitwa tu ni kama watumwa na vijakazi tu
Mshahara wenyewe kiduchu kisa eti anakula na kulala kwake
 
Mimi wangu ananiblock. Kuna kipindi kama 3 days nikimpigia yuko busy. Nikajua atakua busy kwenye kuongea kama kawaida yake. Kushika simu yake nitafute tatizo si ndo nikajua kaniblock. Nikatoa block Jana nampigia tena yuko busy. Nilikasirika ila sikua na namna maana haiwezekani aniblock bahati mbaya ni kwamba hataki simu zangu
Ahaaaaa haki ya mungu nimecheka.ndo zao hawataki tuwapigie
 
Umenielewa vizuri mkuu
Asante
Wengine wanawatuma mpaka taulo ya mzee wakati wao wameshika remote
Wanataka kila kitu mtoto wa kazi afanye kutwa kuitwa tu ni kama watumwa na vijakazi tu
Mshahara wenyewe kiduchu kisa eti anakula na kulala kwake
Mkuu mnaongea tu kwa vile nyie wanaume mnakuta kila kitu kipo poa
 
nao ni binadamu,, huwa tunawapa uhuru??....hivi wenzetu wa nchi za huko mbele, wamewezaje ktk hili?? haya ndo ya kujifunza sio kuigiza kukazana na mavazi.....
 
Sio malezi huwa wana ulimbukeni wa mjini mkuu pia wanaroho mbaya. Kifupi hawa watu hawapendi hata uishi naye kwa kiwango gani akiamua kufanya lake utabaki unastaajabu.
Hawapendi kujiongeza
 
Back
Top Bottom