Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Nilimwambia akasema dada hata sijui wanavyoweka labda mwanao kaweka lakini cha ajabu siku 3 hazijaisha imerudi pale pale nikipiga simpati simu busy.Duh nimeishia kucheka tu je umeshamwambia kuwa umeshajua huo ujinga wake?
Nahisi ana kamchumba mtaani kanamdanganya ndio kanamfundisha aniblock