Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ina huruma sana na wanachi ndio maana inajitahidi kuwasogesea huduma hasa Vijijini nyie wa mijini mumevimbiwa ndio maana Kazi yenu kulaumu serikaliSerikali ya CCM haina huruma ma Wananchi.
Mimi na wananchi wenzanguMko nae wewe na nani?
Muwe mnafuatilia kauli za serikali,walisema watakusanya pesa kwenye miamala yote ya kifedha kwenye simu na mabenki
Upige au usipigie tuko na Mama hadi 2035Kura yangu walaah ccm hawapati Tena Bora nikapigie mbuzi kura kuliko ccm hii
Basi yatakuwa ni mapenzi ya Kikurya kupiga mke ndio kupendaIna huruma sana na wanachi ndio maana inajitahidi kuwasogesea huduma hasa Vijijini nyie wa mijini mumevimbiwa ndio maana Kazi yenu kulaumu serikali
Labda polisi.Mimi na wananchi wenzangu
Ukiona ume deposit wamekata ujue ni madeni ila ku deposit hawakati bali ku withdrawal,, kwenye miamala ya simu ukideposit hawakati ila ku draw au kutuma na kwenye mabenki ni hivyo hivyo.Miamala ya mabenki maana yake nini?
Niki deposit pesa kwenye account yangu au mtu aki deposit pesa kwenye account yangu huo ni muamala wa kutolewa tozo?
Ufafanuzi huo ulitolewa wapi na rates ziko je?
Binafsi ninawafuatilia sana manunda hawa wasiokuwa na chembe ya uchungu na sisi zaidi yao na familia zao.
Niliacha kutumia miamala ya simu. Nikikuta tunarambana tozo kinyemela benki, tutaulizana.
Hata SABAYA alidhani alikuwa akiitendea mema nchi.
Labda unamaanisha kuwa hela ya kununulia ndege lazima ipatikane maana tumeshaambiwa kuwa mkopo wa IMF ndo unatumika kujenga hivyo vitu ulivyovitaja(vituo vya afya, madaraa etc)Mama amepunguza kodi,mwakani anaongeza salary,ajira hazikauki utumishi portal unaweza omba.
Mama sio size yenu,Kuna majengo mengi ya vituo vya afya yamejengwa na yanaendelea kujengwa lazima pesa ipatikane Ili waajiriwe wakatie huduma.Lipa kodi kuwa mzalendo
Jiwe alidhani angetawala beyond 2025, yuko wapi!Upige au usipigie tuko na Mama hadi 2035
Kwa akili yako finyu Til1 ndio itamaliza mahitaji ya hizo huduma nchini?Labda unamaanisha kuwa hela ya kununulia ndege lazima ipatikane maana tumeshaambiwa kuwa mkopo wa IMF unatumika kujenga hivyo vitu ulivyovitaja(vituo vya afya, madaraa etc)
Mama sio JiweJiwe alidhani angetawala beyond 2025, yuko wapi!
Ukiona ume deposit wamekata ujue ni madeni ila ku deposit hawakati bali ku withdrawal,, kwenye miamala ya simu ukideposit hawakati ila ku draw au kutuma na kwenye mabenki ni hivyo hivyo.
Kopa kwenye mtandao au benk afu deposit uone moto.
Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.
Kodi zina taratibu zake, mimi ni mlipa kodi haswa, inavyoonekana sasa ni double taxation ndio tunalalamika,pia tunaweza tukawa tunalipa kodi nyingi lakini kama zinatumiwa hovyo hakuna maendeleo yoyote tutakayopata. Na mwisho mnaojifanya wazalendo wa kulipa kodi mnakuwa sio walipaji kodi ndio maana hamujui sisi tunaolipa kodi tunavyoumia kwa kukatwa hovyo hovyo wakati hukukwingine tayari tumeshalipa hizo kodi.Unadhani usipolipa kodi pesa ya kujenga itatoka wapi? Lipa kodi hakuna njia za mkato saizi.
Kuna kodi na tozo unajua tofauti yakeLipa kodi hakuna cha bure duniani
Wewe lipa acha maswali yasiyo na msingi zote ni pesaKuna kodi na tozo unajua tofauti yake