Bajeti ipi? ya kwenye makaratasi.....kweli wewe unatokea bongolala...We kweli hamnazo,bajeti ya serikali ni til.36, sasa til.1 ni kitu gani kwenye matumizi ya serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajeti ipi? ya kwenye makaratasi.....kweli wewe unatokea bongolala...We kweli hamnazo,bajeti ya serikali ni til.36, sasa til.1 ni kitu gani kwenye matumizi ya serikali?
Si ushukuru hata uwazi upo unapewa na taarifa,mbona makampuni ya simu na mabenki yalikuwa yanaiba pesa,mb nk bila taarifa?Watu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.
Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.
Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.
Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Pia, soma=▷Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021
Hiyo hiyo ya kwenye makalatasi.Bajeti ipi? ya kwenye makaratasi.....kweli wewe unatokea bongolala...
Matajiri gani Tanzania? Biashara zote za matajiri zilishasimamishwa na kufungwa. Wameshawakamua wote na damu zote. Sasa ni kila mtu akamuliwe. CCM Oyee!!!Magu alikusanya pesa toka kwa matajiri, tulimsema sana. Mama amewaacha matajiri wanakula ubwabwa kwa mrija, masikini ishakuwa zamu yetu.
Futseke zao hovyo kabisa.
Hayo Maamuzi ni ya wananchiTuko na ma Hadi 2035 ,tozo hajengei nyumba yake bali anajengea mahitaji ya Watanzania.
Ukiangalia kila sekta Saizi imepewa pesa mara 2 au zaidi ya hapo awali kuyekeleza maendeleo.Lipa kodi kuwa mzalendo.
Lipa kodi hakuna cha bure dunianiJicho la huruma ndio KUREMBUA KUMBE... huyu BIBI HAPANA.
Unadhani hizo tozo zinaenda kutumia mbinguni? Zinatumika kwa wananchi.Mnalialia.umeme kukatika unadhani serikali itoe mavi kufanya ukarabati miundombinu umeme uje?Hayo Maamuzi ni ya wananchi
Sheria ilianza mwezi wa 7 kwa hiyo lazima wakate hata Luku ilikuwa hivyo.Tena wanakata na miamala ya nyuma, Yani wanatudai
Muwe mnafuatilia kauli za serikali,walisema watakusanya pesa kwenye miamala yote ya kifedha kwenye simu na mabenkiPana haja ya kufuata accounts statements na kulianzisha ikithibitika.
Miamala tuliachana nayo si kwa kupenda 😁😁.
Kama na huku tena hapo itakuwa ni kutafutana uchawi!
Na walivyo wapuuzi wankikata basi wakutumie poa ujumbe kuwa wamekata kiasi kadhaa ila wanataka uingie kuomba taarifa ili wakukate tena[emoji2297]Ni hatare, shakatwa tayar zote wamwkwangua
Kodi za kukatwa buku 2 hadi buku 25 tena unafanya muamala mara 1 au 2 kwa mwezi hazina maumivu kwa hiyo tuko na Mama hadi 2035Hizi kodi za mshikamano mimi nataka mama aziongeze kila sehemu, hawa watu wakikamuliwa vizuri kwenye chaguzi akili zitaanza kuamka!
Hapo sasa!!Wanakata bei gani kwa kila muamala
Kodi kiasi gani unalipa wewe? Au kupiga Domo ndio unajua? Lipa kodi kwa maendeleo ya nchiNani kakuambia hatulipi kodi? Huu ni unyang'anyi! Chukueni lakini tunahesabu kuwa ni unyang'anyi!!
Yaani nimepitia miamala nilofanya kwa kipindi hicho walichosema walahi tumbo la kuhara limenishika. Naogopa hata kuiona statement[emoji2297]Hapo kati nimegonga miamala mingi balaa. Yani hapa nasiki kama utumbo unajinyongorota vile[emoji20][emoji20][emoji20]
NMB hawa, sijui benki nyinginezo kukoje huko
Mtalia Lia Kisha mtatulia kama awali lakini sasa matokeo yanaonekana,nyie watu wa mjini hamuwezi elewa haya.Huo ni wizi on day light.
Serikali ya CCM haina huruma ma Wananchi.Tozonia
Mama amepunguza kodi,mwakani anaongeza salary,ajira hazikauki utumishi portal unaweza omba.Sah..wafanyakazi tutakufa taratibu sana kwa stress😒😒😒🤒🤒. Maana huwezi kusema unachukua mshahara cash dirishani🥺😭
Mko nae wewe na nani?Kodi za kukatwa buku 2 hadi buku 25 tena unafanya muamala mara 1 au 2 kwa mwezi hazina maumivu kwa hiyo tuko na Mama hadi 2035