Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Lipa kodi,shetani ni wewe mbinafsi.
Kodi tunalipa kulingana na sheria za nchi wewe p.u.uunga. Hizo tozo zipo kwa sheria ipi? CCM imeshindwa kuendesha nchi, inachokifanya sasa ni WIZI, UTAPELI na ULAGHAI tu.
 
We kweli hamnazo,bajeti ya serikali ni til.36, sasa til.1 ni kitu gani kwenye matumizi ya serikali?
Tatizo ni huu mfumo wa HOVYO wa matumizi ya serikali, pesa za matumizi binafsi 90% wakati pesa za maendeleo 10%. kwanini wasianzishe UPORAJI wa pesa za wananchi kwa kutumia tozo?
 
Tatizo lilianzia hapa, hawa WATU WA HOVYO matumizi yao ni makubwa sana kuliko fedha za maendeleo. Ndio chanzo cha hizi TOZO ZA KITAPELI na ULAGHAI..
 


Wewe m.ende, hiyo serikali yenu ya CCM inaweza kufanya MIUJIZA gani hapo kwenye maendeleo?
 
Aliemwambia Mama hizi 200 za kukata watu kihuni zinaweza kuendesha nchi kampoteza sanaa yani Huu ni wizii... Bora alikubali Viatu vya Magu haviwezi maana huu ni Upuuzi na kuumiza maskini..!!
Hawa MABEBERU WEUSI wameishiwa mbinu za kuongoza nchi, hii tozo ni UTAPELI tu.
 
Inasikitisha sana kulipa kodi zote pamoja na hizi tozo za KITAPELI, kisha asilimia kubwa ya pesa hizo zinaishia KUFANYIA ANASA TU. Kwenye maendeleo zinapelekwa pesa KIDUCHU TU. Serikali ya hovyo hii.
 
Hiyo ni kodi au tozo? Unaelewa maana ya kodi?
 
Baada ya suala la TOZO kuanza kufanya kazi rasmi kwenye mitandao ya simu,wengi(mm nikiwemo) tulikimbilia benki kama moja ya mbinu ya kukwepa hizi tozo

Sasa leo nashangaa nilikuwa na salio la laki 2+,naangalia salio kupitia NMB App nashangaa hela imepungua,takribani shilingi 14500 na kitu hivi..kuangalia statement naona makato ya TOZO mengi kwelikweli(Maana miamala mingi huwa naifanya kwa benki)..Mpesa/Tigo pesa nilizikimbia kabisa

Sasa nauliza jamani hii inshu imewakuta na nyny au!?
 
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzie.wazungu tunawasingizia tu
 
Mbona walitangaza kuwa makato kutoka benki kwenda kwa simu yataanza
 
Mbona walitangaza kuwa makato kutoka benki kwenda kwa simu yataanza
Hapana..mimi sijafanya muamala wa kutoka Benki kwenda kwenye Simu

Mimi miamala yangu yoye ni BENKI kwenda BENKI(NMB kwenda NMB) na si kwenda benki nyngne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…