Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ukitoa pesa ATM kuna tozo?Acha kuhamisha pesa benki kwenda mitandao ya simu. Ndio utaepukana na hizi tozo.
Aisee!Leo nimeshangaa natumiwa message nimekatwa hela bila hata kuitoa. Kuwapigia wananipa sababu ambazo hazieleweki
Mm nimefanya NMB kwenda NMB na wamekataAcha kuhamisha pesa benki kwenda mitandao ya simu. Ndio utaepukana na hizi tozo.
Hata mimi nimepata hii sms, nisichojua wanakata tozo ya %ngapi na kwa nini iwapo pesa niliyo nayo bank inatokana na mshahara na huo mshahara umesha katwa kodi,sasa tozo nyingine ya niniLEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO:
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye simu tozo. Mnataka tuende wapi? Juzi nimetuma crdb to crdb nimeliwa 7500 huku nmb napo wanachukua tozo.
Kwenye simu miamala moto unawaka. Tunaumizana sana nchi hii
View attachment 1977815
Yani kwa hesabu ya haraka haraka wamekata asilimia 1.7 ya hela niliyotuma..sasa embu pata picha unamtumia mtu labda milioni 20...asilimia 1.7 ni lak 3 na 40[emoji3][emoji3][emoji3] kama sikoseiNimetoka kumtumia mtu 100000 cash sasa hv..NMB to NMB kwa kutumia NMB app,wamenikata shilingi 1700..dadeki
Hakuna ila ukihamisha pesa kutoka benki kwenda benki kwa kutumia simu unakatwa tozoVipi ukitoa pesa ATM kuna tozo?
Ndio ishu ni kutumia simu kuhamishaMm nimefanya NMB kwenda NMB na wamekata
Unfortunately hawajali kuhusu kura yako.Halafu bado Kuna makima kwenye jukwaa la siasa Kila siku Ni kupost mimbo ya kusifu Na kuabudu......Akiyanani 2025 afe beki afe kipa Bora nife ila SIO ushungi kurudi ikulu
Nimetumia NMB App...sijatumia SIMU etiNdio ishu ni kutumia simu kuhamisha
Wanakusanyaje au kila unapofanya muamalaLEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO: