Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Wanavaa hizo kipindi cha "kurutaOne" takriban miezi 3. Baada ya hapo anakuwa ni service girl/man na anavaa kombati na kubeba mestini. Yan we acha tuu; Jeshini raha sana aisee.Hizo shorts sio rafiki kwa kuruta wenye miili mikubwa
