Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mkuu; Bado hujaelewa, kutambua na kukubali kwamba hapa tulipo ni Tanzania na sio huko ulikotaja? Hata hivyo hujazuiwa kwenda kuishi huko.
Feel FREE to go.
Wapi mkuu wakati pwani ni kwangu. Ushauri bora angesema tuungane kupigania serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenye. Mfano wa jimbo la znz.

Kwa maana kila jimbo itatengeza sheria sawa na kanuni ya kidemokrasia ya wengi hufunga Sheria. Wachache huvumilia.

Na kwamba ukienda Rome tii shera za rome
 
Serikali haifuati dini yoyote, kwa hivyo hatutegemei serikali isome vitabu vya dini zote duniani ili kutunga sheria zake.
Elewa kuwa dini siyo uislamu na ukatoliki tu kama muono wako ulivyo. Ukitaka serikali inayohesimu dini basi ni lazima pia iheshimu dini zia kikabila ambazo nyie mnabagua na kuziita upagani. Kuna dini nyngi sana duniani ambazo zote zina haki sawa mbele ya serikali.

Serikali ya Tanzania haiundwi kwa ridhaa ya makundi ya dini, bali inaundwa kwa ridhaa ya raia wote bila kuangalia dini zao. Uislamu una tatizo kubwa sana la kulazimisha imani yao ndiyo iwe ya wote. Ukiangalia ramani ya dunia yote utashangaa kuona nchi zinazojiita za kiislamu zisivyoheshimu dini nyinine, na naona ndiyo dhana inayokusumbua na wewe.
Stereotypes:

Serikali yetu inejipambanua ina imani.

Imani ya Ujamaa. Kwani Ujamaa ni imani.

Kimsingi Ujamaa ni imani isiyoamini uwepo wa mungu.

Kimsingi wajamaa wameficha uhalisia kuwa Ujamaa ni upagani.

Je Ujamaa ni universal faith, value and ideology

Hapana.

Je ktk nchi ambao hakuna universal values ni value gn hupaswa kuwa ndio mwongozo wa nchi.

Jibu tunayo case study ya wanafunzi wa kiislam. Waliporuhusiwa wao tu kuvaa uniform with dressing code.

Kwa case study hiyo hiyo inapaswa kutumika kwa idara za polisi na vikosi vya jeshi.

Kwann ninyi wenzetu hamna uwezo wa kuvumilia values za wengine.

Mnataka nchi iongezwe na values za imani ya kipagani pekee. Kwani waislam wakiwa hivyo nanyi mkavaa kwa mujibu wa imani zenu za kipagani unapungukiwa na nini.
 
Serikali haifuati dini yoyote, kwa hivyo hatutegemei serikali isome vitabu vya dini zote duniani ili kutunga sheria zake.

Stereotypes:

Serikali yetu inejipambanua ina imani.

Imani ya Ujamaa. Kwani Ujamaa ni imani.

Kimsingi Ujamaa ni imani isiyoamini uwepo wa mungu.

Kimsingi wajamaa wameficha uhalisia kuwa Ujamaa ni upagani.

Je Ujamaa ni universal faith, value and ideology

Hapana.

Je ktk nchi ambao hakuna universal values ni value gn hupaswa kuwa ndio mwongozo wa nchi.

Jibu tunayo case study ya wanafunzi wa kiislam. Waliporuhusiwa wao tu kuvaa uniform with dressing code.

Kwa case study hiyo hiyo inapaswa kutumika kwa idara za polisi na vikosi vya jeshi.

Kwann ninyi wenzetu hamna uwezo wa kuvumilia values za wengine.

Mnataka nchi iongezwe na values za imani ya kipagani pekee. Kwani waislam wakiwa hivyo nanyi mkavaa kwa mujibu wa imani zenu za kipagani unapungukiwa na nini.
Hapana; unakosea sana kukazania imani ya dini yako ndio uwe mwongozo wa serikali. Siyo kosa lako tu, kwani wapo wengi hata wakatristo kupenda kutumia serikali kufanikisha imani zao. Ni kosa kuchanganya serikali (ambacho ni chombo cha mabavu) na dini (ambayo inajengwa kwa ushawishi).
 
Hapana; unakosea sana kukazania imani ya dini yako ndio uwe mwengozo wa serikali. Siyo kosa lako tu, kwani wapo wengi hata wakatristo kupenda kutumia serikali kufanikisha imani zao. Ni kosa kuchanganya serikali (ambacho ni chombo cha mabavu) na dini (ambayo inajengwa kwa ushahwishi).
Serikali ni chombo cha mabavu???? Uko contaminated.

Serikali inaundwa kutokana na chama. Kazi ya chama ni kushawishi makundi mbalimbali yanayounda watanzania kwa kuaccomodate values zao ktk sera na itikadi ya chama husika. Ambapo sera na itikadi hizo ni muhimu zile na universal values. Na ikikosekana basi si vema kuwalazimisha kundi fulani kufata itikadi na imani nyingine ambayo ni kinyume na imani yake.

By the way kila serikali ina imani. Imani ya serikali ya ccm ni Ujamaa. Ujamaa ni imani.

Kama ambavyo dini ni imani.

Hivyo Ujamaa ni dini.

Dini onayopinga uwepo wa Mungu na viambata vyake kama uwepo wa dini (upagani).


Msiwalazimishe watz wote kufata imani ya kipagani. Ni kufuru
 
Kwa muislam kuvaa mavazi ya stara ni kuabudu.

Na katiba yetu imetumka kuwa kila raia hatozuiliwa kuabudu.

Kwanini jkt wabunge kanuni zinazopingana na katiba ktk nchi ambayo nusu ni waislam

Kwanini nchi zenye waislam wachache wanazinfatia na kuwalinda watu wa dini.
Sitachangia chochote maana siamini kama uko timamu kichwani.
 
Wazazi wa, miaka hii, kila kitu mnataka under control. Sasa hao watoto wataweza, kweli? Lazima wapitie, kila, hatua, na mavazi ili wakae vizuri kwa, ajili ya, mapambano ya, maisha.
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume. Nazungumzia viBUKTA kwa lazima.

Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.

Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.

Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.

Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta. Kwa jina la serikali isiyo na dini. Kwa jina la uzalendo kwanza.

Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?

Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya watz imani za dini zao badala ya kuzilinda.

Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna sheria za jkt zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.

Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya chama cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.

Kwa miaka mingi sasa Jkt imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.

Kwani jkt ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.

Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.

Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini ktk mafunzo ya jkt wasiwe na uhuru huo.

Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?

Iwapo ni masharti ya serikali (jkt) hawaoni wanausigina katiba inayotoa uhuru wa kuabudu. Na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi nchini tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusia kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo.

Je hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?

Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?.

Kunawataka watz waelewe hili. Kwa uhuru wa kuabudu nilik misingi ya haki za binadamu.
 
Brother hijab siyo sketi au gauni, hivi utaruka vikwazo na gauni? Au kupita juu kamba ?

Hao unaosema tunafahamu sana hadi unaona askari kuvaa hijab tayari basic military training walishatoka huko.

Tuondoe ubishani tuwe serious kabisa na fani.
 
Brother hijab siyo sketi au gauni, hivi utaruka vikwazo na gauni? Au kupita juu kamba ?

Hao unaosema tunafahamu sana hadi unaona askari kuvaa hijab tayari basic military training walishatoka huko.

Tuondoe ubishani tuwe serious kabisa na fani.
Ndugu hebu nambie kwa mfano huko somalia askari wa kike wanavishwa vibukta wakati wa mazoezi.

Hijab ina style nyingi kadiri ya mazingira ya kazi.

Ndio maana ktk andiko langu sijaandika hijab. Nimeandika mavazi au uniform zenye stara.

Ktk mataifa hayo mengine hutumia uniform zenye stara zisizokiuka misingi ya imani za kila kundi.
 
Sheikh, serikali haina dini. Ukitaka tufuate itifaki ya dini yenu, maana yake utataka na askari nao wavae kanzu, baibui, barakashia, hijab, au mavazi maalum kama ya wale Wataliban bila shaka.

Mambo mengine ni ya kuvumilia na kuyapuuza tu. Kwanza hivyo vibukta vyenyewe wanavitumia huko huko kwenye mafunzo yao. Au umewaona navyo mtaani? Halafu hata ukiwona, utawagundua kama ni mabinti wa imani yako? Mbona ndugu zetu hamna jambo dogo!!!
Naumia nini nyoe kwa watz wenzenu ku identify values zao wakati zimeandikwa ktk katiba.

Kwanini tusifate katiba. Kwanini dhana za serikali zinafasiriwa na kada moja sawa na values za imani zao binafsi
 
Back
Top Bottom