Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Actually mkuu sipo katika hiyo circle, ni watu ambao nakutana nao by chance. Inapotokea nimekutana nao huwa ninawabaini haraka sana na kuwajua..... Maana huwa zengwe zao watajizungusha atakwambia kila aina ya story ila mziki utakuja kwenye hela na matumizi wanakuwa watupu.

Haoni shida kukwambia umpatie laki atakurejeshea akitoka benki kulipia mzigo.....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliza sasa mzigo gani kama utapewa jibu.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2017 au 2018 nilikutana na kamoja kwenye Viunga vya jiji la Makonda enzi hizo nikaauliza most of your time unakua wapi kakasema kanasoma Nursing UDSM nikaambia na Mimi ninasoma Medical Doctor chuo cha DUCE, cha ajabu kakafurahia sana hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta halafu kamekuja mjini kwa bahati mbaya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tabia ya kuazimana magari ni uswahili sana.

Ila pia nawe unakabaaa, hadi ukawekwa nusu saa nzima....yaani hadi kwenye ATM ukaenda ukashindwa kutoa hata buku ya bodaboda, acha unaa
Walinambia wanawageni wanaenda kuwaona nawapeleka wananipa direction ya Serena Hotel. Nafika kule Serena wameingia ndani wana nambia tuingie sote. Ndio kuingia nimekaa kwenye mojawapo ya viti nasubiria naona nachoreka muda unaenda hawatoki nikamshitua akaja mwenzake kuwa anataka kwenda kuchukua pesa ATM, anaomba ufunguo wa gari. Nikaona huyu hana akili sawa sawa. Kwanza simjui, pili nampatia ufunguo halafu naanzaje kukaa nikiwasubiria.....?!

Nikamkata tu kimya kimya..... Nikamwambia twende naenda huko huko.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka ukimchunguza sana Bata hutamla...huwa tunajitahidi sana tusiwachunguze hawa viumbe na kutokuwa na attachment za ajabu ajabu ilimradi upate appetite ya kumla....Maana kapu lao limejaa mambo meusi sana
Aaaah sasa si anakuletea story nyingi ili uingie choo cha kike upotee akushike masikio....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani watu wanapomaliza chuo wanakuwa na ndoto kubwa sana za mafanikio. Sasa yakiwakataa wanaanza usanii wakuiga maisha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii ndio tabia sipendi. Mtu anajifanya ni mlaji wa vyakula fast food tu. Hali vyakula vya kupika. Ukimwambia leo utaandaa nini, utasikia dah tukanunue maini, au twende tukanunue chipsi na kuku.

Anataka kukuonyesha yeye matumizi anayajua....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah lakini kwa mwanaume kujua kua unadanganywa kuhusu maendeleo ni kitu rahisi coz na sisi ni waongo wa hayo mavitu ila tu hawa ndugu zetu wanazidi uongo mpaka unaona huyu mtu ananipumzikia sasa.
Mwanamke anaanzaje kukudanganya na hela hatoi yeye. Mtoto wa kishua kama yupo vema utaona hata matumizi hakusumbui. Sasa mtu analeta story za.... Kunareport ya kampuni yangu hapa naicheki....halafu hela ya bando hana.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi lakini papuchi wanatoa?..maana naona unazunguka nao dar nzima hii mara kfc mara wapi sijui..

Kuna mmoja aliniambia anasoma udsm degree ya civics..hapo ndo nilikubali hii dunia ina mambo
Watu wa hivi ukitaka papuchi ni ushindwe wewe tu. But mimi huwa ni ile ukaribu wa kawaida maana sina mazoea ya kupita pita na kazi tofauti tofauti hovyo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaboa hata kumshirikisha dili za maendeleo huwezi coz maisha yake 90% ni fake. Anakwambia saivi nimepata appartment nzuri kumbe anaishi single room tu.

Kama wapo humu jamani tuambieni lengo lenu hasa huwa nini.??
Apartment unakuta anaishi yale mageto yao wanakaa tisa kidogo. Hapo wanawekeana zamu ya kulala, wengine wakienda kudanga, wengine wanalala. Nilienda moja hiyo nikiwa na rafiki zangu, wakatukaribisha ilikuwa sikukuu, tulinunulishwa mchele na nyama ya ng'ombe na soda kreti moja.

Walishukuru sana maana pasaka ilikuwa inawaendea kushoto....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nusu[emoji23][emoji23] ila acha mkome maana tulio real mnatuonaga washamba na mnatutapeligi sana,

Wanajiweka hivyo ili kujitengenezea mazingira mazuri ya kupiga mizinga mikubwa mikubwa
Aaaah sasa ukikutana na binti ambaye yupo real nae anakuwa na mawenge yake sio wote wapo vema na mnaweza kwenda na flow nzuri.

Unajua mabinti mnatofautiana kwa namna zenu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hili la kuazimishana magari nakuunga mkono mi siwezi kugawa gari langu hivyo, hata useme unaendea mbinguni sitoi gari, nikikuhurumia sana nitakupeleka unakotaka,
Gari mimi nilikuwa natoa vizuri tu mwanzoni kipindi sijazoea ila nikaja kuona shida ya gari ni kuwa si kila mtu ataheshimu mali yako the way wewe unaiheshimu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…