Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono

Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa...
Atakuja hapa Jadda kusema hao mabinti wana haki ya kua huru na miili yao🤣😀
 
Hapa tatizo linaanzia kwa wazazi wa hao mabint, kwanini wamruhusu bint achukulie kupelekwa mijini wakati anatakiwa kwenda shule?

Wazazi wa namna hii waadhibiwe mbele ya kijiji.
 
Ila wengi hufanya kwa hiari na kujiongezea kipato, nazungumza kama mnufaika wa huduma ambaye nipo field
Tuwaheshimu wanawake.
Hata kama yuko tayari kuliwa na umri ni mdogo, ukiwa kama mtu mzima epuka hili, tuwakinde binti zetu
 
Tuwaheshimu wanawake.
Hata kama yuko tayari kuliwa na umri ni mdogo, ukiwa kama mtu mzima epuka hili, tuwakinde binti zetu
Wapi ulikuta binti chini ya miaka 20 anauza bar? Msipende ku generalise mambo
 
Kuna bar wanalipa mshahara elf 40 hii yote ni kuwaweka mazingira magumu wahudumu ili kuwalazimisha wawe wanajiuza kwa wateja, wanajengwa kisaikolojia kufanya hivyo kwa hiari lakini hawakuja mjini kwa kazi hiyo,
Na Hiyo elf 40 inapatikana mhudumu akiondoka na mteja kabla ya bar kufungwa anaacha ten kwa meneja
 
Mkuu hata hivyo mabinti kutoka mikoa tajwa asili yao inaendana na kazi hizo.
Hawana utulivu, ni micharuko na hao maagent wao wanapoint mabinti kutoka familia zisizo na msimamo kimaadili.
Naongea hivyo kwa uthibitisho maalum coz mi ni mnywaji mwandamizi.
HIV PREVALENCE PER REGION
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    32.8 KB · Views: 6
Mikoa tajwa ndio ina maambukizi kidogo sana ya HIV mbona? Mtoa hoja fafanua kidogo hii inakuaje?
 
mabinti kutoka kanda ya kati, ni wazuri wa sura na maumbo pia. hongera kwa wamama wazaa vyema.
 
Juzi nipo Dodoma mjini nimeingia dukani kununua nguo nakutana na wauzaji ni watoto miaka 10-13. Nilisikitika maana siamini kama ni watoto wa mwenye duka. Serikali iangalie ajira za watoto wadogo maana je wanalipwa stahili zao? Hawafanyiwi ukatili wa aina yeyote? Je vipi kuhusu haki yao ya kupata elimu?
Dah hii ni hatari
 
Back
Top Bottom