Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂, daah, eti mnufaika niliyepo fieldIla wengi hufanya kwa hiari na kujiongezea kipato, nazungumza kama mnufaika wa huduma ambaye nipo field
Atakuja hapa Jadda kusema hao mabinti wana haki ya kua huru na miili yao🤣😀Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono
Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa...
kuna kitu kinaitwa asilimiaTanzania yote hakuna kabila lisilotoa wahudumu wa baa/sehemu za vinywaji.Hakuna.Hao wapo midomoni mwa watu kwa ajili ya rangi yao na miundo/mijengeko ya miili yao.Wewe unawaonaje sheikh?
Sentensi ya mwisho limebeba hiyo ya wao kuitwaa asilimia kubwa ya mchezo mzima.kuna kitu kinaitwa asilimia
Tuwaheshimu wanawake.Ila wengi hufanya kwa hiari na kujiongezea kipato, nazungumza kama mnufaika wa huduma ambaye nipo field
Wapi ulikuta binti chini ya miaka 20 anauza bar? Msipende ku generalise mamboTuwaheshimu wanawake.
Hata kama yuko tayari kuliwa na umri ni mdogo, ukiwa kama mtu mzima epuka hili, tuwakinde binti zetu
Na Hiyo elf 40 inapatikana mhudumu akiondoka na mteja kabla ya bar kufungwa anaacha ten kwa menejaKuna bar wanalipa mshahara elf 40 hii yote ni kuwaweka mazingira magumu wahudumu ili kuwalazimisha wawe wanajiuza kwa wateja, wanajengwa kisaikolojia kufanya hivyo kwa hiari lakini hawakuja mjini kwa kazi hiyo,
HIV PREVALENCE PER REGIONMkuu hata hivyo mabinti kutoka mikoa tajwa asili yao inaendana na kazi hizo.
Hawana utulivu, ni micharuko na hao maagent wao wanapoint mabinti kutoka familia zisizo na msimamo kimaadili.
Naongea hivyo kwa uthibitisho maalum coz mi ni mnywaji mwandamizi.
Aisee!Ngoja tuwe watulivu.Mikoa tajwa ndio ina maambukizi kidogo sana ya HIV mbona? Mtoa hoja fafanua kidogo hii inakuaje?
Dah hii ni hatariJuzi nipo Dodoma mjini nimeingia dukani kununua nguo nakutana na wauzaji ni watoto miaka 10-13. Nilisikitika maana siamini kama ni watoto wa mwenye duka. Serikali iangalie ajira za watoto wadogo maana je wanalipwa stahili zao? Hawafanyiwi ukatili wa aina yeyote? Je vipi kuhusu haki yao ya kupata elimu?