Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono

Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa...
Atakuja hapa Jadda kusema hao mabinti wana haki ya kua huru na miili yao🤣😀
 
Hapa tatizo linaanzia kwa wazazi wa hao mabint, kwanini wamruhusu bint achukulie kupelekwa mijini wakati anatakiwa kwenda shule?

Wazazi wa namna hii waadhibiwe mbele ya kijiji.
 
Ila wengi hufanya kwa hiari na kujiongezea kipato, nazungumza kama mnufaika wa huduma ambaye nipo field
Tuwaheshimu wanawake.
Hata kama yuko tayari kuliwa na umri ni mdogo, ukiwa kama mtu mzima epuka hili, tuwakinde binti zetu
 
Tuwaheshimu wanawake.
Hata kama yuko tayari kuliwa na umri ni mdogo, ukiwa kama mtu mzima epuka hili, tuwakinde binti zetu
Wapi ulikuta binti chini ya miaka 20 anauza bar? Msipende ku generalise mambo
 
Kuna bar wanalipa mshahara elf 40 hii yote ni kuwaweka mazingira magumu wahudumu ili kuwalazimisha wawe wanajiuza kwa wateja, wanajengwa kisaikolojia kufanya hivyo kwa hiari lakini hawakuja mjini kwa kazi hiyo,
Na Hiyo elf 40 inapatikana mhudumu akiondoka na mteja kabla ya bar kufungwa anaacha ten kwa meneja
 
HIV PREVALENCE PER REGION
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    32.8 KB · Views: 6
Mikoa tajwa ndio ina maambukizi kidogo sana ya HIV mbona? Mtoa hoja fafanua kidogo hii inakuaje?
 
mabinti kutoka kanda ya kati, ni wazuri wa sura na maumbo pia. hongera kwa wamama wazaa vyema.
 
Dah hii ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…