Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 294
Habarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwauwa karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa vibaya.
Hali hii imelilazimu jeshi la polisi mkoa wa Mwanza kuongeza askari maeneo ya Magu huku mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia saa Saba mchana mpaka usiku huu.
Raia wamekamata mpaka Barabara ndogo ndogo huku wakishambulia magari yanayopita.
Tangu saa Saba Mchana!!
watu wanatafuta tu sababu ya kufanya uhalifu au ni nini? Hayo magari mengine yamefanya makosa gani. Watu wana stress na roho mbaya sana, unamharibia mwenzio gari lake kwanini? Hivi jeshi limekuwa dhaifu siku hizi kiasi hicho, tandika wao hata risasi za mguuni, washenzi kabisaHabarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwauwa karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa vibaya.
Hali hii imelilazimu jeshi la polisi mkoa wa Mwanza kuongeza askari maeneo ya Magu huku mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia saa Saba mchana mpaka usiku huu.
Raia wamekamata mpaka Barabara ndogo ndogo huku wakishambulia magari yanayopita.
watu wanatafuta tu sababu ya kufanya uhalifu au ni nini? Hayo magari mengine yamefanya makosa gani. Watu wana stress na roho mbaya sana, unamharibia mwenzio gari lake kwanini? Hivi jeshi limekuwa dhaifu siku hizi kiasi hicho, tandika wao hata risasi za mguuni, washenzi kabisa
we kweli mbwa usiye na hayasafi, tuje na DP World!
Alafu unakuta anapiga honi mbele ya traffic kabsa hii nshaishuhudia mara kadhaa hapahapa mwanzaDaah aisee inasikitisha sana kwa kweli madereva kukimbia mbio za Porini mjini mpaka kupelekea kugonga watoto wa shule katika Nchi ambayo madereva wengi hawajali wanafunzi au wanaokwenda kwa miguu Tanzania tupo na madereva wengi wanaamini bara bara ni yao tuu sio viumbe wengine unakuta dereva mwingine anampigia Honi mwenda kwa miguu anaevuka Zebra huwa nawashangaa sana...
Jana asubuhi gari zote zimesimama harafu jamaa kayapita yaliyosimama mbele anaona watu wanapita anapiga honi kama vile hawana haki nilishangaa sana...Alafu unakuta anapiga honi mbele ya traffic kabsa hii nshaishuhudia mara kadhaa hapahapa mwanza