Ila Kuna suala Kila muda Huwa najiuliza...mfano ukitokea mwanza- Musoma ni kama barabara haina matuta kabisa...hii imefanya madereva wajiendeshee tu wanavyotaka...Kuna haja ya serikali kukiangalia hii barabara Kwan ukiachilia mbali kutokuwa na matuta pia ni barabara ambayo ni nyembamba sanaa..