kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Watumie chopaWasukuma huwa wehu,kwa nini hawakushika hiyo gari iliyogonga!?..Kuna watu wanaenda bugando,wanawachelewesha
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watumie chopaWasukuma huwa wehu,kwa nini hawakushika hiyo gari iliyogonga!?..Kuna watu wanaenda bugando,wanawachelewesha
ilaumu serikali kuna jambo la muda mrefu serikali imekuw ikilipuuzia huku wananchi wakiumiaWasukuma huwa wehu,kwa nini hawakushika hiyo gari iliyogonga!?..Kuna watu wanaenda bugando,wanawachelewesha
Jiulize ww mtuhumiwa kafikishw sehem sahihi? Kwann jambo moja liwaguse wenyej kias hicho? Tumia akili yako vzr utagundua Rushwa ndan ya jeshi la polisi ndio ttzo , huenda weng wanapelekw sehem sahihi ila haipatikan hukum sahihi , so wananchi wanachuku maamuzMhh wanapozuia barabara aliefanya kosa kafikishwa polisi? Wanavunja sheria wakitafuta haki wasioijua
Nipo magu mpk sahv tumefunga maduka yetu palikua n noma sana mabom mabom
Nilikua apo shamban nimeenda mwanza usiku huuMkuu upo pande zipi
ChoiceVariableHabarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwauwa karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa vibaya.
Hali hii imelilazimu jeshi la polisi mkoa wa Mwanza kuongeza askari maeneo ya Magu huku mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia saa Saba mchana mpaka usiku huu.
Raia wamekamata mpaka Barabara ndogo ndogo huku wakishambulia magari yanayopita.
Hao washughulikiwe,kupiga magri ndio kunahusika vipi na Watoto kugongwa?
Ni ushamba tu, kwani kila mwenye gari ndio kasababisha ajali?Habarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwauwa karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa vibaya.
Hali hii imelilazimu jeshi la polisi mkoa wa Mwanza kuongeza askari maeneo ya Magu huku mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia saa Saba mchana mpaka usiku huu.
Raia wamekamata mpaka Barabara ndogo ndogo huku wakishambulia magari yanayopita.
Jambo lipi mkuu, maana hii serikaliilaumu serikali kuna jambo la muda mrefu serikali imekuw ikilipuuzia huku wananchi wakiumia
Yeah wapigwe mabomu wakome wasije wakaipindua serikali aisee😄Hao washughulikiwe,kupiga magri ndio kunahusika vipi na Watoto kugongwa?
Tunakoelekea nchi hii haitatawalika.Habarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwauwa karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa vibaya.
Hali hii imelilazimu jeshi la polisi mkoa wa Mwanza kuongeza askari maeneo ya Magu huku mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia saa Saba mchana mpaka usiku huu.
Raia wamekamata mpaka Barabara ndogo ndogo huku wakishambulia magari yanayopita.
Safi wakaze hivyo hivyo ,wapige magari mawe sanaHabarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwauwa karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa vibaya.
Hali hii imelilazimu jeshi la polisi mkoa wa Mwanza kuongeza askari maeneo ya Magu huku mabomu ya machozi yakipigwa kuanzia saa Saba mchana mpaka usiku huu.
Raia wamekamata mpaka Barabara ndogo ndogo huku wakishambulia magari yanayopita.
Gari lililogonga wameliacha,wanazuwia magari mengineilaumu serikali kuna jambo la muda mrefu serikali imekuw ikilipuuzia huku wananchi wakiumia
Unaropoka tu huenda huwajui wasukuma wa magu walivyo na dharau.Daah aisee inasikitisha sana kwa kweli madereva kukimbia mbio za Porini mjini mpaka kupelekea kugonga watoto wa shule katika Nchi ambayo madereva wengi hawajali wanafunzi au wanaokwenda kwa miguu Tanzania tupo na madereva wengi wanaamini bara bara ni yao tuu sio viumbe wengine unakuta dereva mwingine anampigia Honi mwenda kwa miguu anaevuka Zebra huwa nawashangaa sana...
Inasemekana gari imepigwa moto na dereva wake kuuawq hapo hapo...muda flan zilipifa Field force hapa...hapa kwel wasukumq wameamuaWasukuma huwa wehu,kwa nini hawakushika hiyo gari iliyogonga!?..Kuna watu wanaenda bugando,wanawachelewesha
Daaah aisee inauma kichizHabarini wanajamvi,