Naumiaga Sana kuskia ajali za namna hyo tena za kuhusu watotoNakuunga mkono mkuu...hili la usalama wa raia so kufanyia utani kabisa...mfano tu juz hapa nanenane mida ya saa nane usiku yupo jamaa kagongea mbele yangu kabisaa..na jamaa kaamua kuondoka speed mwendo wa ngiri...lkin pia dereva unagongaje kweny zebra cross?kwel na hilo ni la kutetea?
Daah hapo hajagongwa ndugu yako una roho mbaya sana ukute una kipaso na wewe unajiona una haki ya kuongelea wenye magari...unatakiwa uyazoee magari na uwe na gari nzuri hautakua na dharau hizi dharau zenu kwa sababu mna magari chakavu na waenda kwa miguu mnawaona wanyama...Unaropoka tu huenda huwajui wasukuma wa magu walivyo na dharau.
Pita asubuhi wakienda shule wanatembea kati kati ya barabara
Wauza maziwa nao hapo hapo kati
Jioni ndo mbaya zaidi maana wanafunzi na raia wanatembea kati ya barabara
Hajauwaw mtu na gar haijachomwa motoInasemekana gari imepigwa moto na dereva wake kuuawq hapo hapo...muda flan zilipifa Field force hapa...hapa kwel wasukumq wameamua
Sina hata hiyo Passo bwana dalaliDaah hapo hajagongwa ndugu yako una roho mbaya sana ukute una kipaso na wewe unajiona una haki ya kuongelea wenye magari...unatakiwa uyazoee magari na uwe na gari nzuri hautakua na dharau hizi dharau zenu kwa sababu mna magari chakavu na waenda kwa miguu mnawaona wanyama...
Sawa sikatai ila kila anaepita hapo apate madhara ya uharibifu inamaana hao watu hawajielewi tu. Kama wanaona rushwa imezidi zipo mamlaka sio kuharibu mali za wasiohusika kabisaJiulize ww mtuhumiwa kafikishw sehem sahihi? Kwann jambo moja liwaguse wenyej kias hicho? Tumia akili yako vzr utagundua Rushwa ndan ya jeshi la polisi ndio ttzo , huenda weng wanapelekw sehem sahihi ila haipatikan hukum sahihi , so wananchi wanachuku maamuz
Wamefel sana walipokua wanaponda ata magar ambayo hayahusiki we fikiria uponde kioo cha zile bus higer yaan bado bus zingne zilipondwa na gar private unadhan waliokamatwa watafanyweje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sawa sikatai ila kila anaepita hapo apate madhara ya uharibifu inamaana hao watu hawajielewi tu. Kama wanaona rushwa imezidi zipo mamlaka sio kuharibu mali za wasiohusika kabisa
Hali inaendeleaje mkuuAta magari yaliyokua yanazuiwa na wananchi wameyaacha yanapita
Issue n kwamba hyo sehem walipogongewa hao wanafunz n zebra na kumetokea ajar nying apo ndio maana wamekasirika wananchi
WashatuliaHali inaendeleaje mkuu
Mkuu wa mkoa alikuja?Washatulia