Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
watanganyika ndiyo wajinga kukubali kutawaliwa na mzanzibari..Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!
Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali
Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.
Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima
Inauma SanaUwe unajifunza ktk muundo wa NDOA .
Mwanamke akiwa na cheti Cha NDOA, yote anavyoniliki mwanaume ni vya wote .
Lakini, anavyo miliki mwanamke vinabaki vyake binafsi.
NDOA ilishafungwa, na mbaya zaidi tumekwisha zaa na watoto😃😃😃
Watu wa Zanzibar ni legelege na hawajui michezo ndiyo maana wanakuwa wachoyo na husuda sababu watashindwa. Kombe la Mapinduzi, timu za bara ndiyo huchukua. Kama ikifika mfungo wanachukua mpira wanaenda kula futari utategemea wataweza kushindana?Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!
Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali
Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.
Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima
Ikumbukwe wabara ndio wanaong'ang'ania muungano, sio wazanzibar.Hicho kisiwa kiunganishwe na morocco huko ieleweke sio waafrika ebo!! 😡😡😡😈😈😈
Kisiwa kina nini hicho hata tuking'ang'anie? Mtulipe hela tunazo wadai za umeme kwanza alaa!!Ikumbukwe wabara ndio wanaong'ang'ania muungano na sio wazanzibar.
1 Ikiwa unafikiria Wazanzibari wamejaa Bara nakushauri upande boti uende Zanzibar halafu uje uandike tena.Wamezidi sana ubaguzi kati wao bara wamejaa
visiwani ni morocco iliyochangamka
Shehe achana na Chogo Mwanyiko akija kutandikwa makonde atasema Wazanzibari wamehonga atandikwe, USHAN'FAHAMU?1 Ikiwa unafikiria Wazanzibari wamejaa Bara nakushauri upande boti uende Zanzibar halafu uje uandike tena.
2. Nashangaa watu wanatoka povu sababu tu Mwakinyo kaandika alivyoandika bila ya watu kujaribu kutafuta ukweli uko wapi? Who the fck is Mwakinyo? Huko UK na kwengineko alikokwenda kupigana kwani tumeungana nao. You dont need to be united to fight in a country. Its strictly business.
Wacheni kubweka jaribuni kutafuta undani wa sababu ya yeye kukataliwa ku fight in Zanzibar if ever thats the case!
Huna point yoyote, naona unabweka tu kwa chuki zako dhidi ya Watanganyika.1 Ikiwa unafikiria Wazanzibari wamejaa Bara nakushauri upande boti uende Zanzibar halafu uje uandike tena.
2. Nashangaa watu wanatoka povu sababu tu Mwakinyo kaandika alivyoandika bila ya watu kujaribu kutafuta ukweli uko wapi? Who the fck is Mwakinyo? Huko UK na kwengineko alikokwenda kupigana kwani tumeungana nao. You dont need to be united to fight in a country. Its strictly business.
Wacheni kubweka jaribuni kutafuta undani wa sababu ya yeye kukataliwa ku fight in Zanzibar if ever thats the case!
Una uhakika na unalosema?Ikumbukwe wabara ndio wanaong'ang'ania muungano, sio wazanzibar.
Huu undugu wa kuwalazimisha wazanzibari umefanya wazanzibar waongeze chuki zaidi kwetu wabara, yani ukienda huko Zanzibar unaweza kubaguliwa lakini Mkenya anafanya shughuli zake bila tatizo