Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Mamlaka husika ziingilie kati na kutoa uamuzi sahihi wa suala hili kudumisha Muungano wetu.
Hapa mwenye makosa ni chama cha ngumi znz au huyo bondia hajui anacholalamikia.
-Mwakinyo hakuwashirikisha wenye ngumi zao Zanzibar,kwa hiyo wamemtumia huyo bondia kufikisha ujumbe kwa Watanganyika.
-lakini Mamlaka husika Ni vema zika laani na kupiga vita vitendo vya ubaguzi kwa wananchi wa Taifa moja la Tanzania.
-Suala la Katiba Mpya, ndiyo linaingia hapo kuweka mambo sawasawa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!

Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali

Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.

Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima
watanganyika ndiyo wajinga kukubali kutawaliwa na mzanzibari..
 
Uwe unajifunza ktk muundo wa NDOA .

Mwanamke akiwa na cheti Cha NDOA, yote anavyoniliki mwanaume ni vya wote .

Lakini, anavyo miliki mwanamke vinabaki vyake binafsi.

NDOA ilishafungwa, na mbaya zaidi tumekwisha zaa na watoto😃😃😃
Inauma Sana

Hakuna faida ya ndoa kwa mwanamme!
 
Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!

Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali

Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.

Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima
Watu wa Zanzibar ni legelege na hawajui michezo ndiyo maana wanakuwa wachoyo na husuda sababu watashindwa. Kombe la Mapinduzi, timu za bara ndiyo huchukua. Kama ikifika mfungo wanachukua mpira wanaenda kula futari utategemea wataweza kushindana?
 
Hata huyu raisi wetu pia , tuna katiba mbovu sana

back tanganyika
 
Ni kwa mara nyingine tena watanzania bara tunaotumia nguvu kubwa kulazimisha undugu kwa Wazanzibari tumeangukia pua 😂😂

Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu na sio ya Watanzania Bara,

Bondia Hassan Mwakinyo (27) ambaye anajiandaa na pambano lake dhidi ya Bondia Mmarekani Peter Dobson (32) ambalo limepangwa kufanyika December 30,2022 katika Uwanja wa Mao Tse Tung, Zanzibar, ameelezea masikitiko yake kwa kile alichodai Mabondia wa Zanzibar wameandika barua wakidai hiyo ni fursa ya Wazanzibar na sio ya Watanzania Bara.

Pambano hilo la Mwakinyo vs Mmarekani Dobson ni la kugombania mkanda wa WBC International Super Welter.

Mwakinyo amesema “Baada ya miaka mingi kupita nimekuwa mstari wa mbele sana kuipambania Boxing ya Zanzibar mpaka kufanikiwa kupata ridhaa kupitia Mh. Rais wa Zanzibar na Baraza lake kupata kibali cha kufanya fight ajabu ni kwamba Boxer wa Zanzibar wasioona ukubwa wa hili jambo wameandika barua wakidai ile ni fursa yao Wazanzibar na sio ya Watu wa Tanzania Bara so hawataki tujihusishe nao”

“Na sasa sijui ikisemwa kuwa kuna Muungano uliopo kati yetu Muungano huo unaunganisha kitu gani anyway kila la kheri Mabingwa”
 
Hicho kisiwa kiunganishwe na morocco huko ieleweke sio waafrika ebo!! 😡😡😡😈😈😈
 
Ikumbukwe wabara ndio wanaong'ang'ania muungano, sio wazanzibar.

Huu undugu wa kuwalazimisha wazanzibari umefanya wazanzibar waongeze chuki zaidi kwetu wabara, yani ukienda huko Zanzibar unaweza kubaguliwa lakini Mkenya anafanya shughuli zake bila tatizo
 
Huu muungano kwa kifupi unaitwa chako changu,changu changu.Sie wabara hatuna chetu hapa.KATIBA MPYA TU NDIO DAWA
 
Kama rais Katoa kibali pambano lifanyike zbar basi lifanyike,na pasiwe na bondia wa zbar
 
Wamezidi sana ubaguzi kati wao bara wamejaa
1 Ikiwa unafikiria Wazanzibari wamejaa Bara nakushauri upande boti uende Zanzibar halafu uje uandike tena.

2. Nashangaa watu wanatoka povu sababu tu Mwakinyo kaandika alivyoandika bila ya watu kujaribu kutafuta ukweli uko wapi? Who the fck is Mwakinyo? Huko UK na kwengineko alikokwenda kupigana kwani tumeungana nao. You dont need to be united to fight in a country. Its strictly business.

Wacheni kubweka jaribuni kutafuta undani wa sababu ya yeye kukataliwa ku fight in Zanzibar if ever thats the case!
 
Shehe achana na Chogo Mwanyiko akija kutandikwa makonde atasema Wazanzibari wamehonga atandikwe, USHAN'FAHAMU?
 
1 Ikiwa unafikiria Wazanzibari wamejaa Bara nakushauri upande boti uende Zanzibar halafu uje uandike tena.

2. Nashangaa watu wanatoka povu sababu tu Mwakinyo kaandika alivyoandika bila ya watu kujaribu kutafuta ukweli uko wapi? Who the fck is Mwakinyo? Huko UK na kwengineko alikokwenda kupigana kwani tumeungana nao. You dont need to be united to fight in a country. Its strictly business.

Wacheni kubweka jaribuni kutafuta undani wa sababu ya yeye kukataliwa ku fight in Zanzibar if ever thats the case!
Huna point yoyote, naona unabweka tu kwa chuki zako dhidi ya Watanganyika.
 
Ikumbukwe wabara ndio wanaong'ang'ania muungano, sio wazanzibar.

Huu undugu wa kuwalazimisha wazanzibari umefanya wazanzibar waongeze chuki zaidi kwetu wabara, yani ukienda huko Zanzibar unaweza kubaguliwa lakini Mkenya anafanya shughuli zake bila tatizo
Una uhakika na unalosema?

Amandla...
 
Back
Top Bottom