polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
🤪🤪🤪Hata
Hata nikiwa usingizini au ndotoni ukaniuliza nani bora kati ya mwenye degree na diploma nikakuambia bora ni mwenye diploma ninase makofi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤪🤪🤪Hata
Hata nikiwa usingizini au ndotoni ukaniuliza nani bora kati ya mwenye degree na diploma nikakuambia bora ni mwenye diploma ninase makofi
Ni kweli degrees kawa trained for administration na supervisionnimesoma Diploma, na nimesoma Degree ya Uhandisi
hii ndiyo tofauti niliyoiona, na najibu kwa upande wa kada yangu
wa Diploma yuko ki hands-on, amesomea praki (na theories) miaka yote X
wa Degree hawezi kava nafasi ya Diploma, maana yeye kule amekunywa theories tupu (tena zisizo na uhalisia kabisa kwenye mazingira ya kazi) , hata wire wa 2.5mm² hajui unafananaje
Nina bint hapa ofisini hajui hata kuandika CV 🤣 , monthly report yenyewe kuandaa ilibidi aanze upya darasa sasa hadi unajiuliza research yake huyu aliandika nini?Hata
Hata nikiwa usingizini au ndotoni ukaniuliza nani bora kati ya mwenye degree na diploma nikakuambia bora ni mwenye diploma ninase makofi
Nadhan wewe sasa ndio umejibu kitaalamu kabisa na umeelewa vyema context ya huu mjadala sio bwana mmoja hapo juu ,Ni kweli degrees kawa trained for administration na supervision
Diploma for production
Sasa mtu umegraduate varsity na Gamba lako la GPA ya 3.5 and above afu ukalilie ajira ya cheti?lol mbona inakuwa Kama elimu haijakukomboa sasa🤣umelose miaka kibao , duh hii hatare na nusu🤣🤣Au unakuta Kuna ajira ya certificate ila kwa kuwa mtu uliunga hadi degree ,basi qualifications ya certificate uwezi apply wakati ume attach certificate,dip and bachelor Ila wao Wana consider elimu ya bachelor tu ,dip.au certificate uliyo attach uwezi ku apply ,wabadilishe mfumo.kwa kweli kwa mtu alieanzia certificate hadi degree
Hahah na wewe una bachela au mastaz?🤣au diplomacy Kama mimi?🤣🤣🤣Nadhan wewe sasa ndio umejibu kitaalamu kabisa na umeelewa vyema context ya huu mjadala sio bwana mmoja hapo juu ,
na ninadhani huenda katoka familia ya watu wasio soma ndio maana anaona bachelor kama almasi tena zama hizi !? na hapo huenda hata sifa za masters hana anatusumbua na "pass" tu hapa.
Hata kwenye hiyo hiyo elimu umkute yule wa zamani waliokuwa wanaitwa walimu daraja c na b umkute darasani kwa kulitawala darasa wanafunzi wanamwelewa balaa ua umkute daraja A kachukuwa diploma kwa kutawala darasa wa digree atamweze kwa ufundishaji nili chokiona Mimi Huku chini vingi vile vya level ya juu kavisoma ila kijujuu digree ni undani TU wa kile kitu mfano animal cell anaishia nuclear wa juu anaenda ndani kidogo hiyo nuclear anasoma nucleusWewe umefanyia utafiti wako kwenye kada ya ufundi, mimi nimefanyia utafiti wangu kwenye ELIMU kwa ngazi zote nimepita diploma na nimepita pia degree na nilicho kiona kwa ushahidi kabisa ni kwamba
walimu wengi wa diploma ndio wanao fanya vizuri zaidi kwenye ufundishaji na wanaeleweka vizuri na wanafunzi kuliko walimu wa shahada na hasa wale walimu walio toka form six moja kwa moja chuo kwakweli mwengi ni weupe sana sana hata kwenye student management ni zero kabisa.
Diploma anasomea ujuzi zaidi (technician) ndo maana vyuo vya kati mara nyingi elimu yake ni ya vitendo zaidi.Tofauti ya Diploma na degree
1. Salary
2. Skills
Sasa mtu kama kaona anaweza kuomba kazi inayotaka Diploma kwanini asiruhusiwe si maamuzi yake??.
Mfano Dereva wa Bus umkataze asiendeshe IST, utumishi wanafeli sana hapa.
Kikubwa ujue lengo la kusoma kwako ninini!? Ukilijua hilo huwezi kuhangaikaSasa mtu umegraduate varsity na Gamba lako la GPA ya 3.5 and above afu ukalilie ajira ya cheti?lol mbona inakuwa Kama elimu haijakukomboa sasa🤣umelose miaka kibao , duh hii hatare na nusu🤣🤣
Huwezii kumlinganishaa na ndio maana huwezii kukutaaa MD analalamikiaa kutokuruhusiwaa kuomba kazi za diplomaUmemjibu kwa hasira sana ila kakuelewa na siku nyingine aache ujinga . Yaani anataka kusema mtu aliyekaa darasani miaka 5 na mmoja wa internship ili awe MD ni sawa na mtu aliyeishia diploma, nabaki nacheka kwa sauti ndogo
Gachacha, jihadhari na matumizi holela ya hiyo logo; utajapata shida!Ni sheria za kazi ndo zinawaelekeza hivyo na malipo kulingana na elimu ulio nayo
inaonekana wewe umesoma ila elimu yako haijakusaidia,kila level ya elimu inatolewa kwa ajilii ya kutatua aina Fulani ya tatizo,ndio maana engineer ana degree ila hawezii na hajuii hata kujengaa nyumbaa,na Fundi na technician wanaandaliwaa kwa ajilii ya kufanyaa kazii kwa vitendo japo na wao hawawezii kudesign,,,,,,,,mwenye degree hawezii kuomba kazi ya diploma akakubaliwa kwa sababu 1.Mwenye diploma huyo akiajiriwa supervisor wake au mkuu wake wa kazi anakuwa mwenye degree,je akiajiriwa mwenye degree mwenzake mkalingana elimu utakataa kutumwa tumwa coz mnalingana elimu 2.Kiwango Cha mshahara,Sheria inataka kila mtu alipwe kulingana na kiwango chake Cha elimu so watakuwa wanavunja Sheria na hawakutendei hakii kukulipa mshahara wa diploma wakati una degree yako.Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote
Pole Mkuu,Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote
Utakubali mshahara wa Diploma ukishaingia, huku ukiona mwenye digrii kama wewe kakupita 250k?Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote